Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Me nasubiri atakachoongea ndipo ntaunguanisha dot from Mondi na meneja wake na Bashite na Ruge na Roma
 
Hah hah hah hah ha Makamanda bana hapo mbona liko wazi ni dongo kwa Roma.

Msihamishe mada kijanja hah hah ha hah.

Baada ya wasanii kuandamana baadaye jamaa kupatikana kana kwamba alisafiri kidogo amerudi kwa uchovu wa safari.

Ndipo true boy akastaajabu eeh kumbe "UnaTUCHEZEA SINEMA MPAKA WANA"....

Una
Una....
Una....

Unatuchezea...
 
safari yake alifanyia booking tongwe record na kupandia basi oysterbay police station?
 
Ulielewa maneno ya bashite kuwa ndugu zetu wote wanne watapatikana kabla ya j2 wakiwa salama, umeelewa nini hapo?
Ww ukipiteza daftar au hela afu jamaa akakupa matumaini kuwa itafute tu iyo vizur kufika jioni utakuwa ushaipa na kweli kabla jioni haijafika ushaipata utaamini kuwa yeye ndo aliificha hela yako.....muwe mnatumia na akili kuwaza
 
Back
Top Bottom