Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata dr slaa alikuwa kamandaRoma ni kamanda hawezi kununulika na mafisiemu hili dongo ni la mondi Domo
Tumefikiria sawa
Naona mmeanza kutapatapa mapema hata kabla ya press conference ya Roma.Kama umeshindwa kuelewa hesabu idadi ya maneno hiyo ni movie ya Roma na Ruge iliyobuma hahahaha
Mnataka kugeuza upepo. Tumewashtukia kenge wa Pakistani nyie.Tunajua Huu mchezo
na Wapuuzi pekee ndio watafuata
Je, na yule aliepanga matokeo ?Kama Roma amecheza sinema kweli, ikithibithika nitakuwa adui wake kwanza na wa mwisho
Tulia mkuu usikurupuke kwani sio kila unalolisikia uliamini. Muda ndio kila kitu.Kama Roma amecheza sinema kweli, ikithibithika nitakuwa adui wake kwanza na wa mwisho
Matokeo mlipangiwa nyie mimi sikuja kufanya hizo chaguzi hukoJe, na yule aliepanga matokeo ?
safari yake alifanyia booking tongwe record na kupandia basi oysterbay police station?Hah hah hah hah ha Makamanda bana hapo mbona liko wazi ni dongo kwa Roma.
Msihamishe mada kijanja hah hah ha hah.
Baada ya wasanii kuandamana baadaye jamaa kupatikana kana kwamba alisafiri kidogo amerudi kwa uchovu wa safari.
Ndipo true boy akastaajabu eeh kumbe "UnaTUCHEZEA SINEMA MPAKA WANA"....
Una
Una....
Una....
Unatuchezea...
Hiyo movie ni roma na daudi mzee wa kumrejesha kabla ya j2,overKama umeshindwa kuelewa hesabu idadi ya maneno hiyo ni movie ya Roma na Ruge iliyobuma hahahaha
Duuuh mkuu sijui alipandia wapi ila nilimuona akitupungia mkono katika Noah Silva nasi tukapunga.safari yake alifanyia booking tongwe record na kupandia basi oysterbay police station?
Ikithibitika jela imuhusu na atapata laana maana si kwa kumtesa kule mama yake mzaziKama Roma amecheza sinema kweli, ikithibithika nitakuwa adui wake kwanza na wa mwisho
Ww ndo umekurupuka maana umekalili diamond tu kichwani mwakoMleta uzi kakurupuka tu badala ya kufikiria nje ya box alijua kapondwa roma kumbe diamond
Subiri pressWw ndo umekurupuka maana umekalili diamond tu kichwani mwako
Ww ukipiteza daftar au hela afu jamaa akakupa matumaini kuwa itafute tu iyo vizur kufika jioni utakuwa ushaipa na kweli kabla jioni haijafika ushaipata utaamini kuwa yeye ndo aliificha hela yako.....muwe mnatumia na akili kuwazaUlielewa maneno ya bashite kuwa ndugu zetu wote wanne watapatikana kabla ya j2 wakiwa salama, umeelewa nini hapo?