Kwa kweli hapa bado nimebaki ubashiteni, sielewi picha wala maandishi, acha nipiteKama umeshindwa kuelewa hesabu idadi ya maneno hiyo ni movie ya Roma na Ruge iliyobuma hahahaha
Haaaa ni hatariiiSakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema.
Kwenye ukurasa wake ameandika haya.
naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
[HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG][emoji121]️
- naytrueboy2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
Mwana Katoa Bokoo.!
domo sio lomaKama Roma amecheza sinema kweli, ikithibithika nitakuwa adui wake kwanza na wa mwisho
ni domo coz alitoa hadi nyimbo na meneja wake aliitisha kikao cha wasanii waende kwa makondaWakuu, kama jamaa kacheza chezo mbona anaonekana amepigwa na anatembea kwa kuchechemea,kama amecheza inawezekanaje atembee huku akiwa mnyonge na alipelekwa hosp kufanya nini, hebu tusubiri aongee mwenyewe maana mtendewa yupo acheni kujipa majibu wakati mtendewa yupo na ataongea.
Hii diamondKama Roma amecheza sinema kweli, ikithibithika nitakuwa adui wake kwanza na wa mwisho
[emoji35] [emoji35] Kumbe ni huyu Domondi hapo sawaHii diamond
Mleta uzi kakurupuka tu badala ya kufikiria nje ya box alijua kapondwa roma kumbe diamond[emoji35] [emoji35] Kumbe ni huyu Domondi hapo sawa
Ulielewa maneno ya bashite kuwa ndugu zetu wote wanne watapatikana kabla ya j2 wakiwa salama, umeelewa nini hapo?Hili dongo kwa roma.....ata mm tokea mwanzo nilishtuka adi uzi humu jf nilianzisha, ukweli apa roma kacheza filam la kichina na mda cyo mrefu itabumbulika tu.....atekwe roma kwa kipi alichokifanya washindwe kumteka nay ambae katoa adi wimbo wa kumponda bashite.....roma umetuchezea akili na movie lako la kichina mda cyo mrefu itajulikana tu