Changamoto ni hapa,aliniambia nitakuwa nafanya kazi ya kutunza miche ya matunda na bustani pia kuisambaza kwa wateja.
Kisochoridhisha ni kwamba hana hata housegirl,hivyo nimekuwa houseboy na housegirl pia,nimekuwa ndo nasqmbqza miche yake,na ana mtoto wa kiume 20yrs yupo kama mental akili hazipo sawa alifeli std 7 na karudia QT mara 4 na mara hii kapata 0 tena,hapq kanifanya mwalimu natakiwa kumfundisha kuandika,english,hesabu na stadi za maisha,mbaya hata kuongea hawezi hivyo natakiwa kumfundisha but no makubaliano ya kuwa mwalimu wala mfanyakazi za ndani na malipo ni yaleyale 50k.
Imagine kufundisha mtoto mwenye matatizo ya akili muda wote lawama tu.
Na usikosee kitu sasa utasemwa hadi basi,ndo nikaelewa kwann alinihitaji,kumbe ili niwe mwalimu wa mwanae.
Kingine siruhusiwi kutoka getini,imqgine nimekuja dar ili niwe nasaka na fursa zingine halafu mtu akwambie uwe ndani tu chance ya kufanikiwa ni ndogo.
Now nasoma computer kwa kuwa tu na mwanae anasoma hapa na najua anaexpect mwanae afaulu through mimi licha ya changamoto za mtoto mwenyewe.
HII NDO LAST SMS YAKE NIKAMJIBU KOMAA TU CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI...[emoji24][emoji24][emoji24]