Nayachukia maisha sababu ya kifo

Nachukia nikifikiri kuna siku ntakufa na kukuacha mpwa wangu 🙁.
Ila kwa sasa acha tufurahie maisha na kuwapa muda na upendo wale wenye umuhimu kwetu.
 
Bora kufa tena? Wewe hauna familia au watu watakaoumia ukiondoka?
Last week tumezika father wangu mdogo ,ambaye alilazws wiki moja nyuma ...So kifo naona kawaida ,kulia hapana.

Mimi nikiona mtu anaumwq sana mpaka anateseka naweza kulia ,nikiona ombaomba kule barabara naweza kulia ila sio kifo. siku nililia nilipoona video moja kule congo watu wanateswa ila kifo hapana naona mtu anaenda sehemu salama kuliko uonevu wa duniani.
 
Asante kwa kutukumbusha, tumekusikia na tutajitahidi kufanya hivyo.
 
Pole sana dada. Pole mnooo! Mungu akutie nguvu na kukufariji.

Kifo hakijawahi kuzoeleka ... Kila siku huja na matukio mapya na yenye maumivu yasiyoweza kuzoeleka!

Itoshe kukupa pole! Nilisoma hoja za Paul Kalanithi na mawazo yake juu ya kifo, ngoja nirudi kuzisoma Tena.
 
Daaah huo ni mtazamo mzuri pia, kuna kitu cha kujifunza.
 

CC. Pastor Kyande @Wachungaji
 
Nakutumia kijitabu wanachotumia wenzako kujitoa mhanga utaona jambo la kawaida usijali hakikisha unakisoma page 6 ya tu Kisha malizia 9 uone faida kemu kemu za kujiua
 
Pole Sana. Mbona maisha mengine yapo tu ukitaka kujua Hilo angalia jozi za vitu mbali mbali utagundua. Nyuma, mbele. Kulia kucheka. Kushoto kulia. Kwa hiyo mchana na usiku Ni ishara kubwa kutuonyesha kwamba tunapokuwa hai Kama hivi Ni mchana lkn usiku unakuja ambapo tutasubiri pia mapambazuko yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…