Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #21
Nachukia nikifikiri kuna siku ntakufa na kukuacha mpwa wangu 🙁.Usichukie Aunt yangu hata me juzi tumetoka kumzika ndugu yetu wa karibu, pole sana kwa unayopitia jipe moyo usichukie maisha.
Maisha yana changamoto zake nyingi huku hatma yake ikiwa ni kifo, licha ya changamoto zote bado kuna raha ya kuishi furahia wakati ulionao ungali hai.
Ila kwa sasa acha tufurahie maisha na kuwapa muda na upendo wale wenye umuhimu kwetu.