Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )

Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni mpya Sana hapa kwa soka LA afrika ( pressing )....kwa afrika Bado ijazoeleka kwa makocha wengi.

Kwa Yanga huu mfumo umeonekana kufanya kazi kuendana na wachezaji walio kuwa nao.... ( Nilielewa hichi kitu kuanzia mechi na MAMELODI )

Ila Sasa ni dhahiri makocha wengi wamemsoma na kuanzia kujua namna ya kucheza na mfumo huu ( watu hawalali wakuu )

Hata pep guadiola kipindi anakuja Mancheter City na saivi ni tofauti kabisa kabadili mfumo si chini ya mara mbili ili kuendana na ushindani baada ya kujua tayari kila wakati makocha wanamsoma mbinu zake

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivyo basi, kwa Gamondi naona linaenda kutoka na inawezekana baada ya mda akaondolewa kabisa au timu yake ikapotea....

Nawasilish
 
Pamoja na mfumo pia wachezaji umri unaenda na viwango vinashuka,watu wanaweza kuelewa mfumo wako vilevile kumbe viwango vinashuka, Yanga msimu ulipita walikiwasha kwanza kabla ya hapo hawakuwa na mechi nyingi,ila mwaka huu naona kuna ugumu maana wamecheza mechi nyingi na bado wanaendelea kucheza.
 
Unasikilizaga michezo mkuu??

Alishaulizwa kwann nini baleke hachezi??...jibu haingii kwenye mfumo wake

Hapo hapo alishawahi kusema mara nyingi ana kikosi kipana....jiongeze hapo mkuu utanielewa
 
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )

Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni mpya Sana hapa kwa soka LA afrika ( pressing )....kwa afrika Bado ijazoeleka kwa makocha wengi.

Kwa Yanga huu mfumo umeonekana kufanya kazi kuendana na wachezaji walio kuwa nao.... ( Nilielewa hichi kitu kuanzia mechi na MAMELODI )

Ila Sasa ni dhahiri makocha wengi wamemsoma na kuanzia kujua namna ya kucheza na mfumo huu ( watu hawalali wakuu )

Hata pep guadiola kipindi anakuja Mancheter City na saivi ni tofauti kabisa kabadili mfumo si chini ya mara mbili ili kuendana na ushindani baada ya kujua tayari kila wakati makocha wanamsoma mbinu zake

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivyo basi, kwa Gamondi naona linaenda kutoka na inawezekana baada ya mda akaondolewa kabisa au timu yake ikapotea....

Nawasilish
Na kama sio makosa ya kibinadamu leo mtu angeumbuka vibaya sana🤣🤣🤣
IMG-20240925-WA0029.jpg
 
Nijuacho mimi..yanga bado iko vema..ila kila mechi ina mood yake na bahati yake..Ken Gold kacheza kama hatacheza tena , ndio mana kuna mtangazaji akasema kama ingekuwa Ken gold anacheza ivyo na timu zingine angeokota point kwa timu japo mbili alizokutana nazo kabla ya Yanga. Ila all in all Yanga ni timu kama zingine, kwenye ligi moja lolote laweza tokea..Well done Ken G kufungwa goli moja tu
 
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )

Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni mpya Sana hapa kwa soka LA afrika ( pressing )....kwa afrika Bado ijazoeleka kwa makocha wengi.

Kwa Yanga huu mfumo umeonekana kufanya kazi kuendana na wachezaji walio kuwa nao.... ( Nilielewa hichi kitu kuanzia mechi na MAMELODI )

Ila Sasa ni dhahiri makocha wengi wamemsoma na kuanzia kujua namna ya kucheza na mfumo huu ( watu hawalali wakuu )

Hata pep guadiola kipindi anakuja Mancheter City na saivi ni tofauti kabisa kabadili mfumo si chini ya mara mbili ili kuendana na ushindani baada ya kujua tayari kila wakati makocha wanamsoma mbinu zake

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivyo basi, kwa Gamondi naona linaenda kutoka na inawezekana baada ya mda akaondolewa kabisa au timu yake ikapotea....

Nawasilish
Kwanini asibadili
 
Na kama sio makosa ya kibinadamu leo mtu angeumbuka vibaya sana🤣🤣🤣View attachment 3106624
Mkuu, hujazoea TU mpira wetu??.....hizi timu zetu pendwa kubebwa ni kawaida Sana.....Mimi binafsi Huwa nahisi marefa wanaona kabisa hili ni kosa ila wanapeta kulinda amani Yao mtaani....coz Kuna maisha baada ya mpira
 
Kuna watu mpira kama wameanza leo kufatilia, kwani Gamondi ndio mara yake ya kwanza kukutana na timu zinazocheza kama hao Ken Gold? Msimu uliopita Yanga ya Gamondi ilicheza na timu kibao tu zinazocheza hivyo lakini Yanga iliondoka na point 3 hata kama kwa goli moja. Au mnadhani msimu uliopita Yanga ilikuwa imechukua ubingwa kwa kushinda mechi zote kwa ushindi mnono? Acheni upuuzi
 
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )

Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni mpya Sana hapa kwa soka LA afrika ( pressing )....kwa afrika Bado ijazoeleka kwa makocha wengi.

Kwa Yanga huu mfumo umeonekana kufanya kazi kuendana na wachezaji walio kuwa nao.... ( Nilielewa hichi kitu kuanzia mechi na MAMELODI )

Ila Sasa ni dhahiri makocha wengi wamemsoma na kuanzia kujua namna ya kucheza na mfumo huu ( watu hawalali wakuu )

Hata pep guadiola kipindi anakuja Mancheter City na saivi ni tofauti kabisa kabadili mfumo si chini ya mara mbili ili kuendana na ushindani baada ya kujua tayari kila wakati makocha wanamsoma mbinu zake

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivyo basi, kwa Gamondi naona linaenda kutoka na inawezekana baada ya mda akaondolewa kabisa au timu yake ikapotea....

Nawasilish
huna akili
 
Back
Top Bottom