Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Kuna watu mpira kama wameanza leo kufatilia, kwani Gamondi ndio mara yake ya kwanza kukutana na timu zinazocheza kama hao Ken Gold? Msimu uliopita Yanga ya Gamondi ilicheza na timu kibao tu zinazocheza hivyo lakini Yanga iliondoka na point 3 hata kama kwa goli moja. Au mnadhani msimu uliopita Yanga ilikuwa imechukua ubingwa kwa kushinda mechi zote kwa ushindi mnono? Acheni upuuzi
Na kwani Kuna ubaya huyo huyo Gamondi msimu huu mbinu zake zikamezwa na matokeo kuwa tofauti na msimu ukiopita ( ambao umekariri ww )??
 
Na kwani Kuna ubaya huyo huyo Gamondi msimu huu mbinu zake zikamezwa na matokeo kuwa tofauti na msimu ukiopita ( ambao umekariri ww )??
Mbinu zake ni zipi hizo unazozijua wewe? Ingekuwa mbinu za kocha zinajulikana basi kipa asingekuwa kafanya zile save zaidi ya 5 bali kusingekuwa na on target. Ila kilichotokea leo sio kutokana na Gamondi kuzidiwa mbinu bali ni kipa kuwa shujaa wa Ken Gold
 
U
Mbinu zake ni zipi hizo unazozijua wewe? Ingekuwa mbinu za kocha zinajulikana basi kipa asingekuwa kafanya zile save zaidi ya 5 bali kusingekuwa na on target. Ila kilichotokea leo sio kutokana na Gamondi kuzidiwa mbinu bali ni kipa kuwa shujaa wa Ken Gold
Unaongea kishabiki ndio maana hatuelewani....na kamwe hatuwezi kuelewana.....ila binafsi nasubiria kuona plan B yake siku kitumbua kikiingia udongo
 
Title ipi mkuu?? Umesoma vzr??.....Unaujua mpr vzr?? Unaelewa kwenye mpira sio kila Kocha ana uwezo wa kubadili philosophy ya kile anachoamini?
Gamondi amebadili philosophy yake kadri anavyoona mpinzani alivyo. Tukiangalia msimu uliopita Yanga ilikuwa inacheza mchezo wa kutumia nguvu nyingi uwanjani kwa wachezaji kufanya high pressing na kuuchukua mipira kila wanapopoteza mpira. Ila mechi ya Yanga na Mamelodi, Gamondi kawa sio Gamondi yule watu waliokuwa wamemzoea. Gamondi akabadilisha mbinu na falsafa kwenye mechi zote mbili dhidi ya Mamelod.

Angalia Yanga ya msimu huu, haichezi ule mpira wa kufanya high pressing mwanzo mwisho bali wanacheza kwa vipindi, kuna muda watakuachia ucheze kuna muda wanaamua kufanya pressing na Yanga wamefunga kila aina ya goli kuna magoli ya counter attacks na magoli ya build up.

Yanga imecheza michezo minne kwenye klabu bingwa na miwili ya ngao ya jamii vs Azam na Simba na zote Yanga kashinda
Kwenye ligi Yanga imeanzia away na zote kashinda, mechi ya Yanga dhidi ya Kagera na hii ya leo dhidi ya Ken Gold makipa ndio waliofanya kazi ya ziada kuifanya Yanga isipate magoli mengi ila sio kuzidiwa kwa Gamondi kimbinu au mfumo. Mpira hata huko ulaya timu haiwezi kushinda kila mechi kwa idadi ya magoli mengi bali kuna siku utatoa sare, utashinda kwa tabu au kufungwa au kushindwa magoli mengi. Sio timu ikiwa ina buruza mkia ndio guarantee ya timu kubwa kama Yanga kushinda magoli mengi. Wewe hujui mpira ni shabiki mkurupuko
 
Gamondi amebadili philosophy yake kadri anavyoona mpinzani alivyo. Tukiangalia msimu uliopita Yanga ilikuwa inacheza mchezo wa kutumia nguvu nyingi uwanja kwa kufanya high pressing na kuuchukua mpira kila wanapopoteza mpira. Ila mechi ya Yanga ya Mamelodi Gamondi kawa sio Gamondi yule watu waliokuwa wamemzoea. Gamondi akabadilisha mbinu na falsafa kwenye mechi zote mbili dhidi ya Mamelod.

Angalia Yanga ya msimu huu, haichezi ule mpira wa kufanya high pressing mwanzo mwisho bali wanacheza kwa vipindi, kuna muda watakuachia ucheze kuna muda wanaamua kufanya pressing na Yanga wamefunga kila aina ya goli kuna magoli ya counter attacks na magoli ya build up.

Yanga imecheza michezo michezo minne kwenye klabu bingwa na miwili ya ngao ya jamii vs Azam na Simba na zote Yanga kashinda
Kwenye ligi Yanga imeanzia away na zote kashinda, mechi ya Yanga dhidi ya Kagera na hii ya leo dhidi ya Ken Gold kipa ndio waliofanya kazi ya ziada kuifanya Yanga isipate magoli mengi ila sio kuzidiwa kwa Gamondi kimbinu au mfumo. Mpira hata huko ulaya timu haiwezi kushinda kila mechi kwa idadi ya magoli mengi bali kuna siku utatoa sare, utashinda kwa tabu au kufungwa au kushindwa magoli mengi. Sio timu ikiwa ina buruza mkia ndio guarantee ya timu kubwa kama Yanga kushinda magoli mengi.
Kote umeongelea pressing....kasoro mechi hizo mbili walizocheza na MAMELODI hujasema wamecheza mfumo upi mkuu....unahisi hawakucheza pressing pia??.....kingine Mimi sijasema popote Juu ya mechi ya Leo kuhusu Yanga kupata ushindi finyu, thread yangu imelenga kuainisha wapi Yanga ilipotoka, ilipo , na kesho yake ( nimetaadharisha TU Kama maoni binafsi ) ukiwa chini ya Kocha Gamondi sawa dogo??
 
Unasikilizaga michezo mkuu??

Alishaulizwa kwann nini baleke hachezi??...jibu haingii kwenye mfumo wake

Hapo hapo alishawahi kusema mara nyingi ana kikosi kipana....jiongeze hapo mkuu utanielewa
Baleke Yanga walimchukua kwenye ile Simba ya kuunga unga,Simba walimwona hana kiwango,usijali wa Yanga ulikuwa wa kukomoa Simba tu sasa inakula kwao
 
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )

Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni mpya Sana hapa kwa soka LA afrika ( pressing )....kwa afrika Bado ijazoeleka kwa makocha wengi.

Kwa Yanga huu mfumo umeonekana kufanya kazi kuendana na wachezaji walio kuwa nao.... ( Nilielewa hichi kitu kuanzia mechi na MAMELODI )

Ila Sasa ni dhahiri makocha wengi wamemsoma na kuanzia kujua namna ya kucheza na mfumo huu ( watu hawalali wakuu )

Hata pep guadiola kipindi anakuja Mancheter City na saivi ni tofauti kabisa kabadili mfumo si chini ya mara mbili ili kuendana na ushindani baada ya kujua tayari kila wakati makocha wanamsoma mbinu zake

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivyo basi, kwa Gamondi naona linaenda kutoka na inawezekana baada ya mda akaondolewa kabisa au timu yake ikapotea....

Nawasilish
Chai
 
Sasa mbona umehitimisha kuwa hana muda mrefu kwenye timu?

Kwa sasa bongo hakuna timu iliyokamilika kama Yanga, lakini pia ushindani kwenye mpira ni kawaida, usitegemee wao kushinda big kila wakati.
Nimesema hivyo baada ya kuona kuanzia alipotoka, alipo Sasa, kesho sijui ndio maana nikaandika anaweza akabadilika siwezi kushangaa maana ndio mpira, na haitakuwa mbaya maana nitajufunza kitu, nipo kujifunza pia
 
Mimi sijasema popote Juu ya mechi ya Leo kuhusu Yanga kupata ushindi finyu, thread yangu imelenga kuainisha wapi Yanga ilipotoka, ilipo , na kesho yake ( nimetaadharisha TU Kama maoni binafsi ) ukiwa chini ya Kocha Gamondi sawa dogo??

Kwahiyo uliposema kuhusu kocha wa Ken Gold kufungua njia kwa makocha wengine, hii mechi ya Ken Gold na Yanga ambayo ulioizungumzia kwenye uzi wako ilikuwani ya mwaka juzi?
 
Back
Top Bottom