Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Imefikia hatua Yanga asipofunga goli kuanzia nne, inakua wachezaji wamechoka mara makocha wameusoma mfumo wa Gamond sababu kibao. Kwa hiyo braza mechi ijayo Yanga wakishinda 5 utatuambia nini?
Sijatoa sababu Kama hiyo popote hayo ni mawazo YAKo ww
 
Kuna watu mpira kama wameanza leo kufatilia, kwani Gamondi ndio mara yake ya kwanza kukutana na timu zinazocheza kama hao Ken Gold? Msimu uliopita Yanga ya Gamondi ilicheza na timu kibao tu zinazocheza hivyo lakini Yanga iliondoka na point 3 hata kama kwa goli moja. Au mnadhani msimu uliopita Yanga ilikuwa imechukua ubingwa kwa kushinda mechi zote kwa ushindi mnono? Acheni upuuzi
hata kagera pia mliwaonea msimu jana
 
Yanga imekuwa tishio na imejinasibu kuwa timu bora Afrika, Jambo linalopelekea vilabu vingine vidogo kama kuikamia wakijua wanacheza na timu kubwa
Kulazimisha tu ukubwa. Mkubwa anatambuliwa na wengine, wala hahitaji kujitambulisha. By the way, kwa nini Yanga isizikamie timu ndogo, imekatazwa na FIFA? Huu msemo wa kukamiwa ni wa kujihami tu, lakini mpira ndivyo unavyotakiwa, sio eti timu ikicheza kwa bidii iitwe imekamia! Sasa ulitaka wasimame?
 
Makolo msizunguke sana nyie leteni timu next derby tutaona usahihi wa hizi ngonjera mnazo jaza Jf.
 
Geme ya leo ilikua droo.Lile goli la Madogo Refa kameza filimbi.
Uliona wapi Mpira unaovuka mstari ukapitiliza hadi kwenye nguzo ya pili bila hata kugonga mwamba? Wewe kashabikie tu mdako
 
hata kagera pia mliwaonea msimu jana
Kuna mchezaji wa Yanga, au kiongozi wa Yanga alikuwa ndiye mshika kibendera? Simba imeshawahi kunufaika na maamuzi mabovu ya marefarii na utasikia mashabiki wakisema potelea pote kikubwa ni point tatu. Na sio Simba tu bali ni vilabu vingi vinanufaika na wengine kupoteza haki kutokana na waamuzi kushindwa kutafsiri sheria kwa usahihi hata mechi za ulaya na za kimataifa tunaona hilo. Lakini huwezi kusema timu fulani imemuonea kwasababu hiyo timu sio wao marefarii. Mfano mwingine ni namna ambavyo mashabiki wa Yanga wanaichukulia Mamelodi kama waonevu na kuwa na kisasi dhidi yao wakati Mamelodi hawakuwa ndio waamuzi.
 
Kuna mchezaji wa Yanga, au kiongozi wa Yanga alikuwa ndiye mshika kibendera? Simba imeshawahi kunufaika na maamuzi mabovu ya marefarii na utasikia mashabiki wakisema potelea pote kikubwa ni point tatu. Na sio Simba tu bali ni vilabu vingi vinanufaika na wengine kupoteza haki kutokana na waamuzi kushindwa kutafsiri sheria kwa usahihi hata mechi za ulaya na za kimataifa tunaona hilo. Lakini huwezi kusema timu fulani imemuonea kwasababu hiyo timu sio wao marefarii. Mfano mwingine ni namna ambavyo mashabiki wa Yanga wanaichukulia Mamelodi kama waonevu dhidi yao wakati Mamelodi hawakuwa ndio waamuzi.
🤝🤝🤝Case closed umeongea point mkuu
 
Kulazimisha tu ukubwa. Mkubwa anatambuliwa na wengine, wala hahitaji kujitambulisha. By the way, kwa nini Yanga isizikamie timu ndogo, imekatazwa na FIFA? Huu msemo wa kukamiwa ni wa kujihami tu, lakini mpira ndivyo unavyotakiwa, sio eti timu ikicheza kwa bidii iitwe imekamia! Sasa ulitaka wasimame?
Waendelee kukamia na vilabu vingine sasa, sio ikicheza na Yanga inakamia ila ikicheza na KMC inalegeza
 
Kinachotokea ni kila timu kuikamia yanga maana ni timu kubwa kwa afrika sasahivi.
Wachezaji wa timu pinzani kucheza kwa bidii kuliko kawaida .

Ni Kama Raja au Al ahly aje kucheza na Timu za Tz.
 
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )

Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni mpya Sana hapa kwa soka LA afrika ( pressing )....kwa afrika Bado ijazoeleka kwa makocha wengi.

Kwa Yanga huu mfumo umeonekana kufanya kazi kuendana na wachezaji walio kuwa nao.... ( Nilielewa hichi kitu kuanzia mechi na MAMELODI )

Ila Sasa ni dhahiri makocha wengi wamemsoma na kuanzia kujua namna ya kucheza na mfumo huu ( watu hawalali wakuu )

Hata pep guadiola kipindi anakuja Mancheter City na saivi ni tofauti kabisa kabadili mfumo si chini ya mara mbili ili kuendana na ushindani baada ya kujua tayari kila wakati makocha wanamsoma mbinu zake

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivyo basi, kwa Gamondi naona linaenda kutoka na inawezekana baada ya mda akaondolewa kabisa au timu yake ikapotea....

Nawasilish
Nilitegemea utachambua mapungufu ya huo mfumo wa Gamondi, sikuona hatari yoyote ya kengold jana zaidi ya ile diving header moja dakika za mwisho ambapo mpira uligonga mwamba na kurudi uwanjani.

Kwa sasa wapinzani wanaokutana na yanga malengo yao ni kupunguza idadi ya magoli ndio maana yanga akipata ushindi mwembamba kwenye macho ya wengi inaonekana wapinzani walikua na game plan nzuri.
 
Pamoja na mfumo pia wachezaji umri unaenda na viwango vinashuka,watu wanaweza kuelewa mfumo wako vilevile kumbe viwango vinashuka, Yanga msimu ulipita walikiwasha kwanza kabla ya hapo hawakuwa na mechi nyingi,ila mwaka huu naona kuna ugumu maana wamecheza mechi nyingi na bado wanaendelea kucheza.
KUna ugumu gani mkuu? so far mechi zote ukijumlisha na za kirafiki na ngao ya jamii wamefungwa game moja tu na Augsberg ambayo inacheza bundesliga uko ujerumani na wakina bayern munich.

Mechi zingine dhidi zote kashinda
Kaizer chief(4-0)
Simba(1-0)
Azam(4-1)
Kagera(2-0)
Vital'O home and away(10-0)
CBE home amd away (7-0)
Kengold(1-0).

Nashindwa kuelewa ni ugumu gani unaouongelea wewe, au unatarajia ynga ashinde goli 4+ kila mechi?
 
Simba(2-1)
Azam(4-1)
Kagera(2-0)
Vital'O home and away(10-0)
CBE home amd away (7-0)
Kengold(1-0).

Nashindwa kuelewa ni ugumu gani unaouongelea wewe, au unatarajia ynga ashinde goli 4+ kila mechi?
Mkuu Simba goli wapatie wapi? Yanga alishinda vs Simba kwa clean sheet (1-0)
 
Kuna watu mpira kama wameanza leo kufatilia, kwani Gamondi ndio mara yake ya kwanza kukutana na timu zinazocheza kama hao Ken Gold? Msimu uliopita Yanga ya Gamondi ilicheza na timu kibao tu zinazocheza hivyo lakini Yanga iliondoka na point 3 hata kama kwa goli moja. Au mnadhani msimu uliopita Yanga ilikuwa imechukua ubingwa kwa kushinda mechi zote kwa ushindi mnono? Acheni upuuzi
Ujuaji ukizidi ni tatizo.
 
Nimekuelewa Sana, ni wachache Sana wenye kuwaza nje ya box ndio watakuelewa
Kulazimisha tu ukubwa. Mkubwa anatambuliwa na wengine, wala hahitaji kujitambulisha. By the way, kwa nini Yanga isizikamie timu ndogo, imekatazwa na FIFA? Huu msemo wa kukamiwa ni wa kujihami tu, lakini mpira ndivyo unavyotakiwa, sio eti timu ikicheza kwa bidii iitwe imekamia! Sasa ulitaka wasimame
 
Kuna mchezaji wa Yanga, au kiongozi wa Yanga alikuwa ndiye mshika kibendera? Simba imeshawahi kunufaika na maamuzi mabovu ya marefarii na utasikia mashabiki wakisema potelea pote kikubwa ni point tatu. Na sio Simba tu bali ni vilabu vingi vinanufaika na wengine kupoteza haki kutokana na waamuzi kushindwa kutafsiri sheria kwa usahihi hata mechi za ulaya na za kimataifa tunaona hilo. Lakini huwezi kusema timu fulani imemuonea kwasababu hiyo timu sio wao marefarii. Mfano mwingine ni namna ambavyo mashabiki wa Yanga wanaichukulia Mamelodi kama waonevu na kuwa na kisasi dhidi yao wakati Mamelodi hawakuwa ndio waamuzi.
Machapisho makubwaa.....msingi wa hoja YAKo ni Yanga akibebwa na marefu ni fresh TU, na kwa zingine zote za ligi kuu zikibebwa ni sawa pia, ndio msingi wako hoja YAKo kiufupi si ndio???

Kama ndio hivyo ww sio mdau wa michezo wa mpira, bali ni shabiki anayeendeshwa na mihemko sawa mkuu??
 
Back
Top Bottom