Nayapenda sana maisha ya instagram

Insta haina tofauti na bongo movie, binti yupo kijijini kachoka na maisha ila kaweka wigi la laki mbili kichwani
 
Insta inakula MB balaa,sisi wa MB za kuunga unga ukiingia ni maumivu...
Ina addiction sana,ndo mana kila mda watu wako huko...
Hata kma hupendi ukiizoea insta utajikuta kuna picha za aina flani zisizo halisi yani photoshopped nawe waziweka huko,kuigiza maisha...
Ni mtandao ambao asilimia kubwa ya picha za wadada ni wakionesha makalio na maumbo yao huku sura zao zikikosa chunusi wala mabaka hata kdg...
N.B Niko mbioni kuikimbia Instagram.
 
Hahaha maraha yote Yale unayaacha
 
jamaa angu hunag comments ndefu na za kuchukza kwa style yako insta hakukufai watakumeza wanao vaa wanapendeza bora huku
 
mkuu kule ni maisha ya kuonyesha six pack,wadada kushindana ukubwa wa makalio na wote ni ma HB na warembo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…