Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui utamu wa IG wewe!Katika vitu ambavyo sivitumii na sina mpango huo ni instagram&fb japo fb niliwahi kutumia.
Hahaha maraha yote Yale unayaachaInsta inakula MB balaa,sisi wa MB za kuunga unga ukiingia ni maumivu...
Ina addiction sana,ndo mana kila mda watu wako huko...
Hata kma hupendi ukiizoea insta utajikuta kuna picha za aina flani zisizo halisi yani photoshopped nawe waziweka huko,kuigiza maisha...
Ni mtandao ambao asilimia kubwa ya picha za wadada ni wakionesha makalio na maumbo yao huku sura zao zikikosa chunusi wala mabaka hata kdg...
N.B Niko mbioni kuikimbia Instagram.
jamaa angu hunag comments ndefu na za kuchukza kwa style yako insta hakukufai watakumeza wanao vaa wanapendeza bora hukuMaisha ya JF kwa upande wangu ni mazuri mno kwa maana tunatumia akili na fikra pevu kuchambua hoja na mijadala mbalimbali
Maisha ya kupost picha kila saa na kuigiza siyawezi bora hapa JF naweza nikapata idea nzuri ya maisha kuliko uuzaji sura kule instagram
mange kimambiRais wa huko ni nan?
Inaonekana ni pazuri sana huko na panapatikana continent gan?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mange kimambi