Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Inaonekana ww n mzinz mzur sana...hongeraNdugu zangu,
Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu,nimegundua nauingia utu uzima,nimechukia,naogopa nahisi maisha ndio basi,kila nikipita nasalimiwa shikamoo,sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.
Mvi zinabisha hodi kila kukicha,nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji,sitaki lakini hakuna jinsi,mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongaza huenda nikatukanwa hadharani.
Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni
zipo,rafiki yangu kazini amezitoa lakini amefanyiwa kwa laser sio zote nyengine amebakisha, halafu nikuulize kwanini hutaki ndevu na mwana mme Ndevu ATII...Mimi niko kama wewe ila mi nachukia kuota ndevu tu still ni kijana mdogo tu.... I wish nipate dawa ya kuzifanya zisiote arghhh 😡
Lakini sista kuna stage unafikia kila unayekutana nae anakupa "shikamoo dada/kaka/uncle/aunt". Lazima ushtuke kuwa mshale umeshavuka saa sita. Ni kweli uzee ni vile unavyokiweka lakini......at 50+ I guess there's fear kiaina.To grow old is optional. Jiweke fit, fanya mazoezi walau nusu saa kila siku. Acha pombe Na Kula zaidi mboga za majani Na matunda. Anza kusali (hehehe kama huendi jumuiya ndo wakati huu).
Ukivaa kichungaji labda uwe unavaa kama pastor wangu, suruali ya jeans Na slim fit shirt Na kiatu cha kueleweka. Ila ukivaa kama mchungaji wa kijijini ndo shkamoo zitakukoma
Bitter truth, especially wrinkling of skin, poor sight and difficulty in hearing, losing teeth..etc.The aging of beings, their old age, brokenness of teeth, grayness of hair, wrinkling of skin, decline of life, weakness of faculties - this is called aging.
With the arising of birth there is the arising of aging and death.
Sammaditthi Sutta, v. 21-22
Yaani mkuu naunga hoja yako.kua na ndevu ni matatizo tupuMimi niko kama wewe ila mi nachukia kuota ndevu tu still ni kijana mdogo tu.... I wish nipate dawa ya kuzifanya zisiote arghhh 😡
Ndugu zangu,
Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu,nimegundua nauingia utu uzima,nimechukia,naogopa nahisi maisha ndio basi,kila nikipita nasalimiwa shikamoo,sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.
Mvi zinabisha hodi kila kukicha,nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji,sitaki lakini hakuna jinsi,mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongoza huenda nikatukanwa hadharani.
Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni
Bitter truth, especially wrinkling of skin, poor sight and difficulty in hearing, losing teeth..etc.
Japo napenda mvi, I know it'll come a time when all my hair will be grey...damn it man!!
We embrace it coz there's no other option. Had it been my choice, I'd choose "35yrs old" for ever..!![emoji23] [emoji12]Easy out man.
Its cool to embrace growth. I know I will like my grey hair when I get old, looks cool man. [emoji1467]
We embrace it coz there's no other option. Had it been my choice, I'd choose "35yrs old" for ever..!![emoji23] [emoji12]