Nazeeka, naogopa!

Nazeeka, naogopa!

Wagiriki wana magic formulae ya kumbadilishia kijana uzee / yeye akauchukua ukijana wako....
****
PIA NAASA TUACHE KUFANYA MAPENZI NA WATU WENYE UMRI MKUBWA AU WALIOTUPITA KWA MIAKA 15-20.
SHAURI YENU.
 
Penye pesa hakuna uzee mkuu,... Utakula vibichi kama kawaida na utapendwa mpaka mwisho..
 
Mbaya zaidi uwe umeutumia ujana wako kula bata tu, hukukumbuka kuwa na familia/mke na watoto.
Haya mabadiriko yasikutishe, huu ni wakati wako wa kuwa kisima cha hekima vijana wachukue kwako, halafu kuwa mzee haimaanishi kuwa huwezi kushirikiana na vijana, mimi nina 40 yrs lakini angalia ID yangu, usiogope Mkuu.
 
Ndugu zangu,

Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu,nimegundua nauingia utu uzima,nimechukia,naogopa nahisi maisha ndio basi,kila nikipita nasalimiwa shikamoo,sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.

Mvi zinabisha hodi kila kukicha,nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji,sitaki lakini hakuna jinsi,mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongaza huenda nikatukanwa hadharani.

Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni
Inaonekana ww n mzinz mzur sana...hongera
 
Mimi niko kama wewe ila mi nachukia kuota ndevu tu still ni kijana mdogo tu.... I wish nipate dawa ya kuzifanya zisiote arghhh 😡
zipo,rafiki yangu kazini amezitoa lakini amefanyiwa kwa laser sio zote nyengine amebakisha, halafu nikuulize kwanini hutaki ndevu na mwana mme Ndevu ATII...
 
To grow old is optional. Jiweke fit, fanya mazoezi walau nusu saa kila siku. Acha pombe Na Kula zaidi mboga za majani Na matunda. Anza kusali (hehehe kama huendi jumuiya ndo wakati huu).

Ukivaa kichungaji labda uwe unavaa kama pastor wangu, suruali ya jeans Na slim fit shirt Na kiatu cha kueleweka. Ila ukivaa kama mchungaji wa kijijini ndo shkamoo zitakukoma
Lakini sista kuna stage unafikia kila unayekutana nae anakupa "shikamoo dada/kaka/uncle/aunt". Lazima ushtuke kuwa mshale umeshavuka saa sita. Ni kweli uzee ni vile unavyokiweka lakini......at 50+ I guess there's fear kiaina.
 
The aging of beings, their old age, brokenness of teeth, grayness of hair, wrinkling of skin, decline of life, weakness of faculties - this is called aging.
With the arising of birth there is the arising of aging and death.


Sammaditthi Sutta, v. 21-22
Bitter truth, especially wrinkling of skin, poor sight and difficulty in hearing, losing teeth..etc.

Japo napenda mvi, I know it'll come a time when all my hair will be grey...damn it man!!
 
fanya mazoezi
enjoy being you
badili milo yako
ishi lifestyle yako
be smart ,sio lazima uvae suti .unaweza kuvaa jeans still,but elegantly!
be wise,be baba wa kishua!
usikatae kuwa una umri uliowazidi wengine
accept the fact kuwa ili mwanadamu akue ni asife,so ili usikue ufe!
so choose the best!
 
Mbona kinyonge sana?
Unaukataa ukubwa na wakati ukubwa dawa!
Ukiwa mkubwa mwenye akili za kikubwa mwanamke yeyote unabeba,labda hujiamini tu.
Tatizo unavaa kiheshima sana mpaka rika wenzio wanakuamkia,vaa kisela halafu uone kama utaamkiwa.
Ukubwa raha,kila siku unawabadilisha halafu unaenda kumalizana nao ghetto.
 
Ndugu zangu,

Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu,nimegundua nauingia utu uzima,nimechukia,naogopa nahisi maisha ndio basi,kila nikipita nasalimiwa shikamoo,sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.

Mvi zinabisha hodi kila kukicha,nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji,sitaki lakini hakuna jinsi,mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongoza huenda nikatukanwa hadharani.

Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni


olalaa inakuwaje hapo
 
Bitter truth, especially wrinkling of skin, poor sight and difficulty in hearing, losing teeth..etc.

Japo napenda mvi, I know it'll come a time when all my hair will be grey...damn it man!!

Easy out man.

Its cool to embrace growth. I know I will like my grey hair when I get old, looks cool man. [emoji1467]
 
Easy out man.

Its cool to embrace growth. I know I will like my grey hair when I get old, looks cool man. [emoji1467]
We embrace it coz there's no other option. Had it been my choice, I'd choose "35yrs old" for ever..!![emoji23] [emoji12]
 
We embrace it coz there's no other option. Had it been my choice, I'd choose "35yrs old" for ever..!![emoji23] [emoji12]

[emoji23][emoji1417]
There is no option for that.

Age is an issue of mind over matter. If you don't mind, it doesn't matter.
-Mark Twain
 
Masaj za kuondoa mikunjo ya uso zipo. Sura inabaki plain km kijana
 
Back
Top Bottom