Nazeeka, naogopa!

Nazeeka, naogopa!

Mkuu unapitia situation kama Yangu, Kuna watu wakiniamkia nanuna kabisa, naona kuwa sistahili shikamoo zao. Kweli ujana maji ya moto, Shikamoo uzee.
Usiogope sana Shikamoo! Siku hizi unaamkiwa na bado vyombo unapewa vile vile,huku ukiitwa Dadiiii wangu!!![emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu,

Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu, nimegundua nauingia utu uzima, nimechukia, naogopa nahisi maisha ndio basi, kila nikipita nasalimiwa shikamoo, sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.

Mvi zinabisha hodi kila kukicha, nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji, sitaki lakini hakuna jinsi, mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongoza huenda nikatukanwa hadharani.

Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni
Hapa UK wanachoma sindano inayoitwa botox inachelewesha kidogo uzee lakini furahi tu maintain mwili wako penda kutembea kwa miguu avoid kudrive jaribu kuondoa mawazo yasiyo na maana yoyote maana ukijipa mawazo unaziongeza mvi
 
Fast forward 6yrs tangu thread ianzishwe, mwamba keshakuwa mzee sasa na kuikubali hali yake.

Na sisi tayari tunakubaliana na ukweli kuwa we're aging. Ukishagonga 35+ then 40+, you're now a grown up, ukiangalia vizuri utaona dalili za kipara au mvi.

Let's embrace uzee!!
 
Back
Top Bottom