Nazeeka, naogopa!

kama umefika uzee kipindi hk tunachokufakufa ovyo vijana.mshukuru Mungu aisee
 
Mwanaune hawezi kuzeeka kama ana pesa.........


Nime[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] tu
 
Mi ngoja niseme nashukuru kwa hilo.
Kama hiyo ni bahati basi ya kwako ipo pia.
Uzuri kila mtu anao. Ila wengi tuna tofautiana
Tu basi . -🙄
Nisikuchoshe sana mamii kwa maswali yangu,bahati yangu siioni maana kila nikitupa ndoano jukwaani naambulia kuachwa solemba,na mtaani kwetu hapendwi mtu,inapendwa faranga tu.
 
shkamoo babu
 
usiogope mkuu binadamu ni kama maua hunawiri kisha hunyauka
 
..weka picha yako tukuone mzee,..
 
Eli, mi niko kwenye forties lakini naamkiwa na wazee mpaka naogopaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Kiongozi pole! Lakini sema ukweli, huingii hofu kidogo kadri unavyoongeza umri?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Kiongozi pole! Lakini sema ukweli, huingii hofu kidogo kadri unavyoongeza umri?
Kiongozi hapana siingii hofu, nimeshaikubali hali na sikuwahi kuhofia kuzeeka, isipokuwa salaam ninazopata ndio zinanifanya sasa nione kuwa kila mtu anaona kuwa mi ni mzee!!!
 
Jikite kwny Ibada, harufu ya kaburi inaongezeka ukizidi kutaka bbal uzee
 
Maradhi yote yana dawa,kasoro UZEE na KIFO.Hakuna namna yaani kinachokuja ni kifo tu,kwa sasa jipange kufanya ibada tu,thats all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…