Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umenitisha sana lakini picha yako ndio imeniliwaza.Kama sio uzee ni kifo ukiwa kijana.
Uchaguzi ni wako kifo uzeeni au changamka na moja sasa .
Pole my dear . 🙄Yaani umenitisha sana lakini picha yako ndio imeniliwaza.
Mrembo vipi siku hizi mbona huji kule mitaa yetu?,au hutaki somo jipya la biology?Hahahaah
Ahsante mrembo wangu,lakini sijapoa bado yaani unanipandisha mzuka mpaka nabanwa pumzi hasa nikifikiria how wanaume wengine wana bahati mamii.Pole my dear . 🙄
Kwa lipi tu ?Ahsante mrembo wangu,lakini sijapoa bado yaani unanipandisha mzuka mpaka nabanwa pumzi hasa nikifikiria how wanaume wengine wana bahati mamii.
Kwa uzuri wako mamii.Kwa lipi tu ?
Mi ngoja niseme nashukuru kwa hilo.Kwa uzuri wako mamii.
Nisikuchoshe sana mamii kwa maswali yangu,bahati yangu siioni maana kila nikitupa ndoano jukwaani naambulia kuachwa solemba,na mtaani kwetu hapendwi mtu,inapendwa faranga tu.Mi ngoja niseme nashukuru kwa hilo.
Kama hiyo ni bahati basi ya kwako ipo pia.
Uzuri kila mtu anao. Ila wengi tuna tofautiana
Tu basi . -🙄
shkamoo babuNdugu zangu,
Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana,nazeeka na nimeingiwa na hofu, nimegundua nauingia utu uzima, nimechukia, naogopa nahisi maisha ndio basi, kila nikipita nasalimiwa shikamoo, sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana,naogopa sana uzee.
Mvi zinabisha hodi kila kukicha, nimeanza kubadili mavazi niliyoyapenda sasa navaa kama mchungaji, sitaki lakini hakuna jinsi, mlioushinda uzee nitieni nguvu nahisi sipendwi tena nikipita hakuna anayenitazama kama zamani, naogopa kutongoza huenda nikatukanwa hadharani.
Mmh, mlioushinda uzee nisaidieni
..weka picha yako tukuone mzee,..Ndugu zangu,

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Kiongozi pole! Lakini sema ukweli, huingii hofu kidogo kadri unavyoongeza umri?Eli, mi niko kwenye forties lakini naamkiwa na wazee mpaka naogopaga.
Kiongozi hapana siingii hofu, nimeshaikubali hali na sikuwahi kuhofia kuzeeka, isipokuwa salaam ninazopata ndio zinanifanya sasa nione kuwa kila mtu anaona kuwa mi ni mzee!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Kiongozi pole! Lakini sema ukweli, huingii hofu kidogo kadri unavyoongeza umri?