Nazibua vyoo

Nazibua vyoo

Je choo cha Baba yako na mama yako umeisha vizibua pia?

Ukijibu hapa ndio tutajua aina ya uzibuaji wako.
 
Sasa hapa kweli mi sijakuelewa. ..yaan una maanisha kuwa uzibua vyoo hivi vya kujisaidia au vyoo vya HALICHACHII? ??[emoji5][emoji5]
 
Bila maumivu? Kuzibuliwa kwa choo kunahusiana nini na maumivu
bila maumivu maana yake ni buree wewe ukitoa pesa huwa roho haiumi ?sasa ni bahati ilioje huduma ya bure na bado ile mbolea pia tunachukua
 
umemuuliza baba yako na mama yako kama kuna tenda kwao kama ulivyoeleza hapo juu?
Jibu watakalokupa ujue ndilo linalokufaa.
aah kwa hilo tatizo nyumbani hakuna tayari nishazibua na kila kukijaa huwa nazibua vipi mitaa ya huko kwenu hakuna? na kama ni mkoani wapo wawakilishi wetu naomba utupatie hiyo tenda
 
Sasa hapa kweli mi sijakuelewa. ..yaan una maanisha kuwa uzibua vyoo hivi vya kujisaidia au vyoo vya HALICHACHII? ??[emoji5][emoji5]
nazibua vyoo vya kujisaidia mkuu. vipi mkuu ipo hiyo tenda hapo nyumbani kwako uweze kunisaidia?
 
kwani umetafsiri nini mkuu usitafutie balaa bure la kupigwa ban kwani si nimetangaza kazi yangu kwani hakuna mtaani kwenu vyoo vilivyoziba na kujaa ili vitapishwe
sasa mbona umesema wanawake kwa wanaume

ungesema nazibua vyoo pekeake isingetosha??
 
haki ya nan huu n uchochezi wa kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom