Nipo, nipo kabisa ndani ya JFShem upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo, nipo kabisa ndani ya JFShem upo?
unaelekea buswelu?Nimeshasogea niko Nyakato National hahahahahahahahah
Nisubirie hapo Mzambaruani mbele ya kidogo ya Zembwela kwa Kajogejo😀😀😀😀😀unaelekea buswelu?
ngoja niwahi ilalila
maana una spidi balaa! hahahaa!
aaah... unataka kunipigisha kabali eenh?Nisubirie hapo Mzambaruani mbele ya kidogo ya Zembwela kwa Kajogejo😀😀😀😀😀
Nipo, nipo kabisa ndani ya JF
bila maumivu maana yake ni buree wewe ukitoa pesa huwa roho haiumi ?sasa ni bahati ilioje huduma ya bure na bado ile mbolea pia tunachukuaBila maumivu? Kuzibuliwa kwa choo kunahusiana nini na maumivu
aah kwa hilo tatizo nyumbani hakuna tayari nishazibua na kila kukijaa huwa nazibua vipi mitaa ya huko kwenu hakuna? na kama ni mkoani wapo wawakilishi wetu naomba utupatie hiyo tendaumemuuliza baba yako na mama yako kama kuna tenda kwao kama ulivyoeleza hapo juu?
Jibu watakalokupa ujue ndilo linalokufaa.
nazibua vyoo vya kujisaidia mkuu. vipi mkuu ipo hiyo tenda hapo nyumbani kwako uweze kunisaidia?Sasa hapa kweli mi sijakuelewa. ..yaan una maanisha kuwa uzibua vyoo hivi vya kujisaidia au vyoo vya HALICHACHII? ??[emoji5][emoji5]
Mkuu sisi kwetu choo kikijaa twaita lile gari la kunyonyea bhananazibua vyoo vya kujisaidia mkuu. vipi mkuu ipo hiyo tenda hapo nyumbani kwako uweze kunisaidia?
ok mkuu kwa kunibania tenda ya kuja kuzibua choo chakoMkuu sisi kwetu choo kikijaa twaita lile gari la kunyonyea bhana
sasa mbona umesema wanawake kwa wanaumekwani umetafsiri nini mkuu usitafutie balaa bure la kupigwa ban kwani si nimetangaza kazi yangu kwani hakuna mtaani kwenu vyoo vilivyoziba na kujaa ili vitapishwe
Ohooooo!!!Ana maanisha anatumia sana mtandao wa tigo kwa wanawake na wanaume bila mauimivu
ndio wote wanamiliki nyumba na wanavyoo humo katika nyumba zaosasa mbona umesema wanawake kwa wanaume
ungesema nazibua vyoo pekeake isingetosha??
ok.mkuu nakwenda kuzibua choo chakeMagogoni kuna mteja.