Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

We jamaa yaani nyeto ni sawa na munywa pombe au kuvuta sigara Apo ume puzika Mimi nilikaa mwaka nikaja Anza Tena mapumuziko mema na dada zetu wanavyo tikisa matako barabarani ukimvutia hisia ukiwa peke yako
 
Mkeo aweza kupigisha nyeto kisiasa. Mpaka ule timing ya kum pregnantisize. Unapo tom bila kumpa mimba ni punyeto tu.wengi mnapiga nyeto. .hata kutamani tu umepiga koyomoyo ukitaka ifunge kamba nakajiwe. Ke hawapigi sio?
 
Wacha kuangalia picha chafu punguza kula vyakula vyenye vichocheo kuwa na madem angalau wawili kama bado utaendelea nenda kwa mwamposa ukakanyage mafuta
 
Week 2 ( siku 14) pila kupiga punyeto.

nazidi kuamini ukiamua na ukimuomba Mungu kuacha inawezekana kabisa hata iwe ngumu kiasi gani.

asante kwa mnaoendelea kutoa ushauri, na ukiwa unapitia kwenye hiyo hali na unataka kuacha jua kuwa inawezekana nami nakaza mwendo kwa kuwa nimekusudia kuacha na nimeacha.

asante
 
We upo half time tu mzee baba, wala usituchanganye hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilikaa mwezi tu nikaanza kujisifu na kujiona mshindi, siku hiyo hiyo nikarudi mule mule [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu maneno yako naona kama yananipa moyo kwa kiasi fulani.
 
Mkuu maneno yako naona kama yananipa moyo kwa kiasi fulani.
Nimefurahi kusikia hivyo Kaka, ninachojua pekee yetu hatuwezi ila tuimuomba Mungu na tukidhamiria tunaweza kabisa.

Nafuata ushauri,
Mazoezi,
Kuwa busy na Nazi au kujisomea vitu,
Kusoma sana NENO,
Kumuomba Mungu,
Kila siku nimetenga Muda wa kumshukuru Mungu kuwa na Leo umenisaidia,
Kujitenga na vishawishi mbalimbali


Tutaweza tuu, na lazima tuachane na vitu vinavyotesa moyo.
 
Kila kitu kinawezekana ukiamua kufanya au kuacha ni msimamo wako mwenye katika kusimama unapopataka.
 
Ntaanza leo namimi ntaleta mrejesho
 
cc: Tundu Lissu
 
Focus kwa sasa,acha kuliongelea hili swala sana,,naamini utafanikiwa,,,,si unajua hata manzi ukimuongelea sana anajua unampenda ,,relax mkuu ,kula vizuri,zoezi kidogo,,inawezekana
 
Wanachama wazalendo wa CHAPUTA tunazidi kupungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…