EliNyaU EliNyahu Cohen no ni typing error ni sahihi ni Eliyahu Cohen.
Jihadi katika uislamu ni kitu kipana na kina sheria zake na condition zake na usichukilie hayo yakina Boko Haram ,ISiS nk kuwa wapo katika Jihad.
Mihemko mingine imejitokeza katika uzi wako kuweka aya za Qu'ran kama Gazeti bila kujua misingi ya hizo aya hilo ni kosa kubwa hata kwenye Bible nikitumia msingi kama ukitimia wewe nitaweka contradiction nyingi sana ambazo hautaweza kuzitetea.
Umeshakuwa miongoni mwa genge la
Maghayo The Mongo kufuata mambo kishabiki
View attachment 2806036