Nazitafuta sana hizi perfume. Wapi nitazipata kwa DSM?

Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.

1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Unaweza ukaenda ndani ya kituo cha SGR Dar, kuna duka la perfumes kali mle. Nadhani ni floor ya kwanza
 
Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.

1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Mbona hayo majina ni kama vile perfume za watu waliopo sober house
 
Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.

1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Unazo unauza, njoo na ile ID nyingine uwauzie.
 
Bei zake zipoje mkuu?
 
Walioenda kwa Yusuph naomba mrejesho😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…