Wewe mzee yaani upo kama Bashite na Magufuli. Unapenda kusifiwa balaa![B]Nzi[/B], [B]Raimundo[/B], [B]Lizarazu[/B], [B]Uliza Nkujibu[/B], [B]runna[/B] na wapenzi wote wa CAVs...jamani hata kutupa hongera! Hata hivyo tunawaombea msijikwae kwenye hicho kisiki tuweze kukutana fainali, tunawasubiri kwa hamu kweli kweli ila kwanza lazima mking'oe hicho kisiki kisije kikawaumbua mchana kweupeee! Visiki bwana, vina maudhi!
Poa poa mkuu...Mkuu George Betram hapo juu nadhani nimekosea jina/username yako, sorry, mate!
[B]Nzi[/B], [B]Raimundo[/B], [B]Lizarazu[/B], [B]Uliza Nkujibu[/B], [B]runna[/B] na wapenzi wote wa CAVs...jamani hata kutupa hongera! Hata hivyo tunawaombea msijikwae kwenye hicho kisiki tuweze kukutana fainali, tunawasubiri kwa hamu kweli kweli ila kwanza lazima mking'oe hicho kisiki kisije kikawaumbua mchana kweupeee! Visiki bwana, vina maudhi!
Hongereni Mkuu, Si jambo Dogo ku-run 12-0 kwenye Playoffs...[B]Nzi[/B], [B]Raimundo[/B], [B]Lizarazu[/B], [B]Uliza Nkujibu[/B], [B]runna[/B] na wapenzi wote wa CAVs...jamani hata kutupa hongera! Hata hivyo tunawaombea msijikwae kwenye hicho kisiki tuweze kukutana fainali, tunawasubiri kwa hamu kweli kweli ila kwanza lazima mking'oe hicho kisiki kisije kikawaumbua mchana kweupeee! Visiki bwana, vina maudhi!
Niliwapongeza CAVS walipoweka rekodi yao hivi majuzi...mimi ni mwana michezo through and through ndugu yangu.Wewe mzee yaani upo kama Bashite na Magufuli. Unapenda kusifiwa balaa!
Je 67-15? Ninavyojua timu tatu zilizoshika nafasi za juu kabisa kwenye regular zilitoka West! Jitahidini leo mvuke, mkifanikiwa hiyo nitakuwa wa kwanza kuwapongezeni.GSW had cakewalks....winning against undermanned teams...this taints the 12-0 wins! This is just my opinion.
Niliwapongeza CAVS walipoweka rekodi yao hivi majuzi...mimi ni mwana michezo through and through ndugu yangu.
Je 67-15? Ninavyojua timu tatu zilizoshika nafasi za juu kabisa kwenye regular zilitoka West! Jitahidini leo mvuke, mkifanikiwa hiyo nitakuwa wa kwanza kuwapongezeni.
Mkuu BAK, Celtics wakicheza kama juzi tena away from home, CAVs wanaweza kuwa na wakati mgumu sana. Kwanza huo mchezo umewapa confidence ambayo hawakuwa nayo hasa baada ya IT kutokuwepo. Pili, wako kwenye momentum, it is like a body in motion...ni sawa na kujaribu kulisimamisha truck la tani 12 likiwa kwenye mwendo mkali. Tatu wameweza kuwatia hofu CAVS na kwa kuwasimamisha itabidi CAVS wabadilisha mchezo na nne, they have less to lose compared to their opponents na kwa maana hiyo hawatacheza kwa wasi wasi kama wenzao.Pamoja na kuwa home court advantage bado CAVS wana nafasi kubwa ya kushinda kama King James kama ataweza kuperform katika level ya michezo 10 ya kwanza katika hizi playoffs na pia supporting cast to do the same.
Na Cavs wakicheza kama walivyoshinda kwa vikapu 44?Mkuu BAK, Celtics wakicheza kama juzi tena away from home, CAVs wanaweza kuwa na wakati mgumu sana. Kwanza huo mchezo umewapa confidence ambayo hawakuwa nayo hasa baada ya IT kutokuwepo. Pili, wako kwenye momentum, it is like a body in motion...ni sawa na kujaribu kulisimamisha truck la tani 12 likiwa kwenye mwendo mkali. Tatu wameweza kuwatia hofu CAVS na kwa kuwasimamisha itabidi CAVS wabadilisha mchezo na nne, they have less to lose compared to their opponents na kwa maana hiyo hawatacheza kwa wasi wasi kama wenzao.
Hivi juzi kwani wamechezaje? Unakumbuka katika robo za awali KL alipokuwa akitungua tatu tatu hadi mashabiki mkatabiri clean sweep? Celtics wakajipiga moyo konde na kujiuliza, what have we to lose...let's play our hearts out, and the rest is history!Na Cavs wakicheza kama walivyoshinda kwa vikapu 44?
The game will be one of the best in these playoffs.
Stop being too salty mzee...Hivi juzi kwani wamechezaje? Unakumbuka katika robo za awali KL alipokuwa akitungua tatu tatu hadi mashabiki mkatabiri clean sweep? Celtics wakajipiga moyo konde na kujiuliza, what have we to lose...let's play our hearts out, and the rest is history!
Better than the last one these two played? I doubt it.
Halftime...Celtics 57, Cavs 47....Quicken Loans Arena kimya! Kaaaazi kweli kweli...!Nzi said:Stop being too salty mzee...
Cavs wanakujaHalftime...Celtics 57, Cavs 47....Quicken Loans Arena kimya! Kaaaazi kweli kweli...!
Hata hivyo yule andunje alikuwa liability sana kwenye defense.. Hii Celtics ya sasa naona kabisa inacheza tight defense na Cavs wakifanya mchezo watatushangaza mengi..Kwani naye Raimundo anasemaje? Naona kuna timu star player akikosekana, timu inapata motisha na kuperform vizuri zaidi...ha ha haa!