Hilo lingeweza kutokea kama GSW angepoteza fainali ya mwaka huu...nimetumia angepoteza kwa sababu sizioni dalili za CAVS kuweza kurud na kushinda hii fainali kama ilivyotekea mwaka janaHahahahahah mkuu spend the money get the money and everything.
No matter what!?
Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanza hii swala hawakuliona.
Ila baada ya Two defeats za playoffs na kuona no future hope to come ,buddies mnaanza kulalamika.
Mazee mnazingua.
Taja timu iliyokuwa na 4 all-stars na two MVPs kwenye starting 5!Hehehe kila record ni ya GSW zingine mmeanza kuwapa wenyewe.
CAVS mbona ina 3 all-stars kwenye starting line up..Taja timu iliyokuwa na 4 all-stars na two MVPs kwenye starting 5!
[HASHTAG]#KDisthedifference[/HASHTAG]
Teh...Spot on, I actually think they are gonna prove how stupid and insignificant their decision was very soon.
It's obviously known the last season's warriors were better way than this overhyped one. Failure to ameliorate their record despite the addition of KD proves to us beyond the doubt Warriors have a slimmest chance ever to clinch the NBA victory in this June.
Hujaona sehemu ya pili ya sentensi ama?CAVS mbona ina 3 all-stars kwenye starting line up..
Ndo maana nikasema hizi record Nyingine zinakuja ghafla tu bin vuuu mnazitengeneza na kuzipromoti wenyewe.Taja timu iliyokuwa na 4 all-stars na two MVPs kwenye starting 5!
[HASHTAG]#KDisthedifference[/HASHTAG]
Hahahahahahahah nimecheka kweli Nzi bhana sasa why yuko hivi[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
When chokers became superteam[emoji23] [emoji14]Hahahaaa watu mnafukua makaburi ya zamani?
Lakini kwani uongo kuhusu KD ku choke msimu ulopita na GSW nao ku choke?
π
Yes, they both choked! Series hii haijaisha! Hivyo, still maneno yangu yanaweza kuwa sahihi hata kwa msimu huu!Hahahahahahahah nimecheka kweli Nzi bhana sasa why yuko hivi[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
Hahaha nzi umemwona choker KD na choking roaster sasa imekuwaje imekuwa "Superteam" hahahaah
Nimecheka kweli.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nzi umezingua bro[emoji3]
Nimeiona hahahahahahah nimecheka kweli[emoji23]
Poa bruv! Tusubiri game 3.Yes, they both choked! Series hii haijaisha! Hivyo, still maneno yangu yanaweza kuwa sahihi hata kwa msimu huu!
From Raimundo.[emoji3]Ha ha ha, ila mnatisha siyo kidogo.
Hapa timu pinzani tunaomba mshindwe kuelewana tu, otherwise mkielewana hali itakuwa siyo hali.
teh teh teh teh teh teh teh...
Kila siku mnaambiwa Warriors wanamalizaga mchezo kota ya 3..