This is no longer just an obsession, it is a disease😛! You need help dude, see a doctor!Question:
Which team in an NBA Finals history had a 3-1 lead in the series but never won the chip?
And which team in an NBA Finals history was in a 3-1 hole and dug itself out of it and went to win the chip?
Answer: King James' Cleveland Cavaliers.
I wonder if the Oracle arena's visitors locker room still has that champagne smell....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
This is no longer just an obsession, it is a disease😛! You need help dude, see a doctor!
- Mag3 approves this message 🙂🙂🙂!
Check out Uncle Drew do a number on Stephanie....
😀😀😀😀😀😀😀😀
Okay, judge for yourself...
That 3-1 comeback was 10 times better than having an orgasm...
Check out The Block.
Hilo swali mchizi wangu Nzi atakujibu vizuri sana. Timu yake ya Man U nayo inafatwa fatwa kama inavyofatwa Warriors..Hivi kwanini GSW ndio timu inayochukiwa na watu wengi NBA..?
Pia kwanini Steph Curry ndio mchezaji anayechukiwa zaidi NBA..?
Nimejiuliza hili swali nimeshindwa pata jibu...
Nimehisi labda kwasababu ya UGENI wangu kwenye bball ndio maana sifahamu SIRI ya hii chuki dhidi ya Steph Curry na GSW..!
Kwa wale mashabiki WAKONGWE wa huu mchezo,ni jambo gani Steph Curry na GSW walifanya linalofanya wachukiwe sana..!?
Hii CHUKI nimekuwa nikiishuhudia kwenye official fb page ya NBA hata humu jukwaani pia...
Kule kwenye fb page ya NBA,ikitokea wamepost picha au habari ya GSW utakutana na CHUKI za wazi kabisa dhidi ya Steph na GSW...
Ila kitu kingine cha AJABU hata NBA wakipost habari au picha ya timu nyingine tofauti na ya GSW au Steph,bado utaona kuna watu(wengi) wanaizungumzia vibaya GSW na Steph...
Hii CHUKI huwa naiona hata humu JUKWAANI...
NBA fb page imekuwa ni Page ya GSW/Curry na anti-GSW/Curry,hadi hili jukwaa naona liko hivyo pia..!
Kwanini iwe GSW na Steph Curry pekee wakati NBA ina timu nyingi na wachezaji wengi..!?
Hivi kwanini GSW ndio timu inayochukiwa na watu wengi NBA..?

Ooh...Wapo King's subjects hawatakaa wamsahau Steph Curry kwani alimliza mfalme wao mwaka 2015!
Ooh...
Kumbe ndio iko hivyo mkuu..!
Me nimeanza kufuatilia huu mchezo mwaka huu...
Ndio maana hii kitu inanishangaza sana..!
Ila bado swali linabaki kuwa kwanini Steph Curry na GSW tu..!?
Kwani huyo LeBron hajawahi kufungwa na timu nyingine zaidi ya GSW ya Steph..!?
Mimi nimeanza kufuatilia huu mchezo mwaka huu(kuna jamaa yangu alinishawishi kuangalia),ilikua ni kwenye hatua ya PLAYOFF games...Mkuu kwa kipindi hiki kifupi ulichoanza kufatilia basket umegundua ni timu ipi inapendwa zaidi?
Na je ni mchezaji yupi anapendwa zaidi?
Na wewe kama wewe umeamua kuipenda timu gani na mchezaji gani?