Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
We will see...Huh! This game is over in the 1st quarter? 😵😵😵
Broh...mmmmhh hawa warriors wanataka wakamalizie game Oakland nini??
Hakuna muujiza wa kushinda hii game..Broh...
Mbona game bado mbichi kabisa hii...
KD na Curry hawana hata point moja...
Sawa kaka...Hakuna muujiza wa kushinda hii game..
12??GSW 42 CAVS 54
Hakuna kitu kibaya kama kupigana na mtu ambaye hana cha kupoteza.. Warriors wanatakiwa kuwa makini, wasikubali kabisa kugive up hii game..