NBA 2016/2017 Season Special Thread

Russ being Russ...............😀😀
 
I see.

Kwa hiyo alipoenda MIA ulienda naye na aliporudi Cleve ukarudi naye, siyo?

Kweli mkuu, ila mara zote wakati yuko Miami nilikuwa naomba arudi home.

Nilifurahi sana alivyorudi nyumbani.
 
I see.

Kwa hiyo alipoenda MIA ulienda naye na aliporudi Cleve ukarudi naye, siyo?

Kwenye thread ya msimu ulioisha niliwahi kuandika hii kitu,

NBA Season 2015 - 2016: Special thread
 
Karibuni sana George Betram na ze-dudu...GSW ndio gumzo la jiji na Steph Curry ndiye that baby-faced assassin anayetungua bila kumtazama mchawi usoni.
Curry ni fundi balaa na GSW nilianza kuwapenda msimu uliopita pamoja na kupigwa comeback na cavs eti wala sikuumia ndio kwanza nilizidisha maloveeeeeee kwao
jana KD kawateketeza wenzie vibaya sana
 
Cavs naona Chemistry imekubali.

Wameshajua nani anasimama wapi, nani ana jukumu gani.

Love, KI na LBJ wote wako moto sana.

Ila nahisi watafanya trade kubwa kabla ya ile trading deadline ili kuboresha kikosi.

Nahisi litakuwa jina flani kubwa kubwa...

Be on the lookout...
 
Ila nahisi watafanya trade kubwa kabla ya ile trading deadline ili kuboresha kikosi.

Nahisi litakuwa jina flani kubwa kubwa...

Be on the lookout...

Hii hata mimi naifikiria, make kupambana na wale GSW si kitu rahisi kwa kikosi alichonacho Cavs.

KL anaweza kuwa traded? Make ikitokea ni kutafuta mtu wa replacement namwona kama yeye ndo mbuzi wa kafara.
 
Safari hii cavs anakaa kwa gsw a.k.a barcelona ya u.s.a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…