Tupe matokeo maana halftime tulishagongwa vikapu kibaoLakers walivyo wazembe watapoteza hii game. Smh
Nilikuwa sipo lakini duh, GSW naona wanafundishwa Basketball na ndugu zao wa LA. Yaani mtu anachapwa bila huruma! 113-93! mpaka sasa...!
GSW 97- 117 LakersTupe matokeo maana halftime tulishagongwa vikapu kibao
Go Curry...
Go Warriors..!
Nilikuwa sipo lakini duh, GSW naona wanafundishwa Basketball na ndugu zao wa LA. Yaani mtu anachapwa bila huruma! 113-93! mpaka sasa...!
Mtani mwaka mmeuanza vibaya,
Kuna kitu nimekiona kwa hizi game chache mlizoanza nazo, KD ana ichukua timu kutoka kwa waliokuwa wamiliki ambao ni Curry, Klay T na Green. KD na Klay wote wawili siyo good team players kama alivyo Curry na Green, ni watu wanaotakiwa kulishwa zaidi kuliko kuwalisha wenzao.
Starters wenu wote ni offense minded, so defense mko shallow.
Ngoja kwanza nione mnajitoaje kwenye hili janga, Curry u-MVP ausahau na kwa kinachoenda kuwatokea mtajuta kumleta KD.
Ahahaaaah...Mkuu nilishakwambia umechagua Fungu la kukosa.
Njoo Cavs uinjoi maushindi.