NBA 2016/2017 Season Special Thread

Basi tambua kila MTU na umuhimu wake kama unatambua Dray ni MVP Wa timu basi hata curry yupo kwenya a bunch of MVPs Dray yupo vizuri kwenye defensive sana Curry yupo Vizuri kwenye Scoring .

Mwisho Wa siku anayescore sana ndo mfalme

Au unataka kusema mchezaji bora Wa Barcelona ni Gerald pique na sio Messi au mchezaji bora Wa Madrid ni Ramos na sio Ronaldo hehehhe[emoji3]

Wote wana umuhimu wao but anayefunga sana ndo atakula shavu Ila hata dray scorer mzuri[emoji4]
 
Mkuu chukulia tu kama maneno ya kishabiki kama vipi, kuna ule msemo wa mti wenye matunda ndo unaorushiwa mawe.

Curry ni best shooter, hili sina ubishi nalo.
Hehehehehe Raimundo bhana kumbe hata wewe kumsifia dray nakumponda curry ni maneno ya kishabiki[emoji3]
 
Hehehehehe Raimundo bhana kumbe hata wewe kumsifia dray nakumponda curry ni maneno ya kishabiki[emoji3]

Curry siyo threat kwa timu yangu ya Cavs, ila DRaymond ni bonge la threat.

So team inapojiandaa kupambana na GSW inaumiza kichwa zaidi jinsi ya kudeal na DRaymond kuliko Steph, ndo maana hata mwaka jana LBJ ilibidi atafute jinsi ya kumwondoa jamaa kwenye game.

So, Curry kwetu ni mchezaji wa kawaida sana, na mlivyomwongeza KD ndo kabisa mmeturahisishia kazi, yaani tunaomba mje ninyi kwenye Finals.
 
Sawa Hahahahahaha.....
 
LA clippers inaongoza kwenye power rankings hahaha. Clippers siwezi iwekea pesa yangu itaharibu tu kwenye playoff.

Timu nyingi zinafanya vizuri itakua season nzuri sana hii
Eastern conference sasa hivi ATL Hawks wanaongoza...

Hawa nao ndo kama Clippers tu.

Wanaweza sana kuwapandisha watu mzuka halafu baadae wanakuja kukuangusha....
 
Chill out bruh! Kwani ni uongo kwamba Green is the real MVP in the literal sense of being the most valuable player? Licha ya hivyo, hakuondoi ukweli kwamba Curry ni mzuri pia; lakini kwenye timu Green ni muhimu zaidi ya Curry. Hapa siyo suala la kumkubali Curry au lah! Yes, Curry may be an NBA superstar, but he aint the MVP in his team. And this is what Jordan and Lebron special: their presences carry teams, and their absences make the teams lose games. Yes, hawafanyi kila kitu, lakini wakikosekana kwenye timu, timu haifanyi kitu. Ndivyo alivyo Green kwa GSW. Kukosekana kwa Curry hapo GSW hakuna madhara kama kukosekana kwa Green! This is a proven fact na ushahidi upo.

By the way, kwani Bron akitweet Curry ni special does it make his opinion authoritative?
 
That's how Cavs fans analyse basketball????? Ooohh God.. kuwa with Curry's absence Warriors are the same team? Really? I'll agree to concede this.... by the way I've this for you too. and I agree Curry is a normal player
 
That's how Cavs fans analyse basketball????? Ooohh God.. kuwa with Curry's absence Warriors are the same team? Really? I'll agree to concede this.... by the way I've this for you too. View attachment 435687 and I agree Curry is a normal player
Kaka, mbona unataka kulazimisha kujiaminisha vitu nisivyovisema? Wapi nimesema Curry is a normal player? Unasoma na kuelewa kweli braza? Yes, Curry is phenomenal! But, that doesn't have anything to do with Green's impact on the team. This is a fact bruh! We saw in last year's playoffs, when GSW was able to win games without Curry! Yes, GSW without Curry isn't the same (missing his 3 points shooting prowess). But, we all know how GSW struggled to win a championship deciding game (in their home court) because of Green's absence. This isn't about Cavs' fan analysing basketball, it is the reality bruh! You either suck it up or ignore it.

NB: you keep on posting that Lebron's tweet about Curry as it it represents universal truth about Curry. Bron just gave his own opinion like how I am giving mine! The only difference is that Bron is an NBA superstar, and I'm not! But, that doesn't restrict me to have my own opinion about NBA players; and also it doesn't make Bron's opinion authoritative!
 
[QUOTE="Nzi, post: 18524597]But, we all know how GSW struggled to win a championship deciding game (in their home court) because of Green's absence.[/QUOTE]

Say what now...? Did we watch the same game or...?

Coz last I checked Draymond Green played in that game 7.

Or maybe which Green are you talking about?
 
Say what now...? Did we watch the same game or...?

Coz last I checked Draymond Green played in that game 7.

Or maybe which Green are you talking about?

I meant game 6, the one that Green missed after getting flagrant fouls, which was a championship deciding game for GSW as there were leading 3-2 in the series.
 
Nzi said:
But, we all know how GSW struggled to win a championship deciding game (in their home court) because of Green's absence.
Mmh...!
Nyani Ngabu said:
Say what now...? Did we watch the same game or...?
Coz last I checked Draymond Green played in that game 7.
Or maybe which Green are you talking about?
Admit it dudes, GSW is what's what. Who cares about CAVs losing big to GSW in the 2015 finals. I never for one moment thought the whiners and cry babies could ever have such opposing views! The former can't stop whining that GSW had it easy because some dudes other than Bron were nursing injuries...the latter weep that the CAVs only lost to the Pacers because the King was indisposed. Come on blokes, make up yo' minds! Nyani Ngabu, Nzi & Raimundo which one is it?
 
..the hell did you just say?

Mind translating that gibberish into common parlance?
 
Russell Westbrook (with his wife Nina), set to be inducted into the Oklahoma Hall of Fame by Michael Jordan tonight.(Akiamua kuwa serious kwenye uvaaji anatoka sana πŸ˜€πŸ˜€).
 
..the latter weep that the CAVs only lost to the Pacers because the King was indisposed. Come on blokes, make up yo' minds! Nyani Ngabu, Nzi & Raimundo which one is it?

Haya mkuu, nina uhakika hii thread haifungwi na haondoki mtu hapa mpaka finals zifike.

Kati ya watu wana ushabiki wa kishamba huwa nakuona na wewe ni mmoja wao, ni kati ya watu hawataki kuambiwa madhaifu ya timu zao na ukiambiwa unapanick! Halafu unakuwaga na illogicals nyingi nyingi huku unalia lia.

Cavs lost to you guys; Kyrie and Love were out; tukasema this was the reason mkakataa, tulipokutana wote wakiwa health tukawatanguliza kwa 3 - 1, then tukawashinda.

Cavs lost to Indiana, we said it is because Bron was out, hutaki eti kisa siku alipokuwepo hao wengine wakiwa wanaumwa alishindwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…