Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Basi tambua kila MTU na umuhimu wake kama unatambua Dray ni MVP Wa timu basi hata curry yupo kwenya a bunch of MVPs Dray yupo vizuri kwenye defensive sana Curry yupo Vizuri kwenye Scoring .Mkuu kusema kwamba Draymond ni MVP wa timu ni kwa sababu bila yeye ni ngumu kushinda ila bila Curry timu inaweza kushinda, hakuna ubishi juu ya Curry kuwa ni best shooter, ubishi uko kwa yeye kuwekwa kwenye discussion za Best PG ever, mara top 5 all time, nadhani unazikumbuka hizi sifa mwaka jana.
Kitu ambacho nawalalamikia washabiki wa GSw ni kwamba hawataki timu yao isemwe hata kidogo na utakuta ukikosoa kitu povu linawatoka kama nini.
All in all huu ni ushabiki tu, na ushabiki hauwezi kuwa ushabiki bila kuponda timu pinzani!
Mwisho Wa siku anayescore sana ndo mfalme
Au unataka kusema mchezaji bora Wa Barcelona ni Gerald pique na sio Messi au mchezaji bora Wa Madrid ni Ramos na sio Ronaldo hehehhe[emoji3]
Wote wana umuhimu wao but anayefunga sana ndo atakula shavu Ila hata dray scorer mzuri[emoji4]