NBA 2016/2017 Season Special Thread

Raimundo, hebu fuatilia huu mnakasha...
LBJ hakucheza leo, it was a back to back game kocha akaamua kumpumzisha. Hope unaujua umuhimu wa LBJ kwenye ligi.
Raimundo bhana kwahiyo bila LBJ CAVS sio kitu kabisa
Akiondoka King tu CAVS itakuwa mdebwedo hahahahah. Ndo madhara ya kutegemea mtu mmoja kuibeba timu
Mkuu kwani hiyo ni siri, rudi nyuma angalia Stats za Cavs before hajaondoka, alipoondoka hawakucheza playoff misimu 4 mfululizo, toka amerudi kila mwaka wanaingia Finals.
Umeona hata GSW wanatengeneza timu kupambana na LBJ.
So unaungana na Skip Bayless ambaye yeye anasema MVP wa finals alitakiwa kuwa Kyrie Irving kwa sababu yeye ndo alipiga clutch shots zote muhimu kuwabakiza Cleveland mchezoni last season despite numbers ambazo LeBron aliweka?
Kaazi kwako Raimundo...😀😀😀!
 
Who is more 'clutchy', Curry or Allen?
SLAM: Where do you rank Stephen Curry in terms of the greatest shooters in the history of the League? A lot of fans might argue that you hold that title.

RA: Based on what he’s done, I think he has to be—he’s on his way to being the best ever. It’s always arguable, based on who’s telling the story. One thing I always tell people is, it’s hard to compare generations. Everybody has something or somebody that makes him feel special about the game, or the way they saw and the way they appreciate the game. I’ve sat back and watched a lot, and listened to a lot of people talk.

He’s creating a lane all of his own. People comparing him to me, to Reggie [Miller]. But I think Steph is in a category of his own. Just being able to have great handles the way he has with the ball, to be able to score at will by getting to the basket. Myself, Reggie Miller, Kyle Korver, Klay Thompson—we play a different game. We’re shooters. We come off screens, pindowns—Steph can do that, but he’s creating a different lane. Point guards haven’t been able to do what he’s been able to do, because he’s mixing that 2 guard-ish in there with having the great handles of a point guard.

When I broke the three-point record, they (Steph and Klay) watched that and it became something they said in their mind, this is what I want to do. Now, there are kids watching him, saying I want to work on these things, I want to be just like Steph.
 
Naona hujaelewa swali mzee! Zingatia keyword ni clutch na siyo shooter!
 
Durant comes up big, puts up 33p, 6r, 5a en route to a 124-121 Warriors victory over the Bucks.
 
Naona hujaelewa swali mzee! Zingatia keyword ni clutch na siyo shooter!
Nadhani hapa ni lazima sasa tufundishane tunaposema clutch shot katika mchezo wa basketball tuna maana gani maana ziko tafsiri nyingi na katika machache ni haya...
  1. Dagger shot - seals the win for your team. If you miss this shot, you are a choker.
  2. Decider shot - in a tight game could be a free throw, a 2pt or 3pt that seals the game
  3. Money shot - a shot made at the crucial time, when your team needs it most.
  4. Lucky shot - a shot made from a nearly impossible angle and distance.
  5. Big shot - with game on the line, can be a big shot or a big play
  6. Fan shot - any shot whatever makes their favorite player look good.
  7. Buzzer beater - As the clock turns red, the ball is already in the air.
 
200 point game

Ha ha ha, wazee wa unrealistic projections!

Mmenikumbusha zile za eti kwa vile Klay Thompson aliscore 37 points kwa quarter moja basi ipo siku atascore points 148 kwa quarter nne, au vile Stephen Curry aliscore 17 points OT (5 minutes) eti akicheza 30 minutes atascore points 102.





Kwenye hiyo $100 niliyoahidi kutoa ikiwa Stephen Curry atascore 17 points OT au 80 points kwenye game moja, naongezea na hii mpya ya 200 points.

Tuendelee kuwa pamoja wakuu.
 

Ha ha haa Raimundo, kweli wewe matata ila unasahau kitu kimoja kuhusu hesabu na hasa zile za shule ya msingi. Mbona hesabu hazidanganyi jamani, here we go...je, unakubali kuwa;
  • kama chungwa moja ni shilindi ishirini, machungwa manne ni shilingi themanini?
  • kama unatembea maili moja kwa dakika thelathini, kwa saa mbili utatembea maili nne?
  • kama mtu moja unamaliza sahani ya ugali, watu wanne mtamaliza masahani mangapi?
  • kama hatua moja ina urefu wa futi tatu, hatua nne zina urefu gani?
  • Kama kwa dakika moja unafunga vikapu viwili, kwa dakika nne utafunga vikapu vingapi?

Nitarudi baadaye...!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…