NBA 2016/2017 Season Special Thread

Kwani we ukisema Green is special does it make your opinion authorative[emoji3]
 
Naona Steph Curry leo katoa somo...kuhusu clutch shot ni mdudu gani! Je kuna lingine? Karibu sana Nzi...
Kama
Kwani we ukisema Green is special does it make your opinion authorative[emoji3]
Ukisoma kwa kuelewa na siyo kwa nia ya kukosoa, utaelewa kwamba ninachosema ni mtazamo wangu! Ila ninauamini kwa stats kuhusu umuhimu wa wachezaji ndani ya GSW (haswa kwa misimu miwili iliyopita) zinaonyesha Green ni muhimu zaidi. Nilishaziweka humu, zitafute kama huamini! Bron alisema juu ya uwezo wa hali ya juu wa Curry ku-shoot 3s, which has nothing to deal with being a team's MVP!
 
Warriors wako nyumbani leo kuwakaribisha ndugu zao kutoka LA ambao katika mchezo wa kwanza Lakers waliichachafya Warriors sitakaa nisahau. Ngoja tuone kama wataendeleza huo ubabe wao hapa Oracle. Hata hivyo mpaka sasa inaonekana haitakuwa rahisi kihivyo..Warriors hawatawapa hiyo nafasi.
 
Naona Warriors wameamua kwamba safari hii hawataki kabisa mchezo, wanawarudi watoto watundu wa Lakers. Mpaka sasa halftime score ni 80-49, duh!
 
huu ni ubakaji wa wazi wazi!
149-106! Raimundo upo? Kama hawangepunguza spidi kweli hiyo 200 hawangeiona? 47 assists? Kazi kweli kweli!

Steph - 31p/5r/9a
KD - 28p/6r/5a
Klay - 26p/2r/2a
Ian - 21p
Zaza - 6p/3r/2a/3s
Draymond - 5p/9r/11a
JaVale - 8p/4r
Andre - 4p/2r/5a​
 
Na leo Cousins katuweza pia saaana [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Hatushindani
 
Sasa 200 inafikaje?
Kwa sababu sijaona hata quarter 1 mliyopata 50 points (200/4)!
Duh, kelele za CAVs kwenye twitter naona zimezimika ghafla...rekodi ya 137 haikudumu hata kwa saa tatu! Hawa Warriors hawa, lazima tuwatafutie dawa. 149, sawa na 38 kila quarter...hii ni hatari tupu.
 
Hivi wale fans wa OKC waliojitokeza kwa wingi kwenye western finals za mwaka jana wako wapi??

Naona sasa wamebaki kupiga kelele za Russ needs some help.. Sasa kama alikuwa na msaada wa KD na Ibaka, hata akipewa msaada wa aina gani hawezi kugusa Western finals akiwa pale OKC hata kwa nini. Russel aende NOP akaungane na AD
 
Duh, kelele za CAVs kwenye twitter naona zimezimika ghafla...rekodi ya 137 haikudumu hata kwa saa tatu! Hawa Warriors hawa, lazima tuwatafutie dawa. 149, sawa na 38 kila quarter...hii ni hatari tupu.
Cavs wako vizuri sana.. Ila sijui kwanini walimwacha Dell... Haka kajaa ndio kalikuwa kana msumbua msumbua Curry na rafu zake za kijinga..

Kyrie can't guard any elite PG..
 

Unamtafuta Soso J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…