NBA 2016/2017 Season Special Thread

Walianza kwa mkwara kweli watu tukawa tunawachora tu teh teh teh..

Ghafla wakaenda kwenye 4 games losing streak, sasa wako kwenye 2 games losing streak.. Next Nuggets..

Ila nawaona wako powa, wanaweza kucheza playoffs, ambayo hata hivyo wataishia round ya kwanza tu.

RW siyo mtu wa kumwachia mzigo wa timu, anahitaji leader mtata, kama siyo KD kuwa soft, jamaa wangeweza kufika mbali.
 
Kule ni West mkuu.. kule juu hana wa kumshusha.. Huku chini anapambana na Utah, Lakers, Blazers, Kings na Nuggets.. Naona na NOP nao wanakuja juu... 4 games in a row now, hawajapoteza tangia Holiday arudi. I bet OKC playoffs hatutamwona..
 
Kuna muda nilimwondoa Kings kwenye mawazo ya playoff lakini naona naye kabadilika pia, NOP sijui itakuwaje, natamani kweli wacheze playoff.
 
Kuna muda nilimwondoa Kings kwenye mawazo ya playoff lakini naona naye kabadilika pia, NOP sijui itakuwaje, natamani kweli wacheze playoff.
OKC wakifanya masihara play off wataisikia kwenye bomba..
 
OKC wakifanya masihara play off wataisikia kwenye bomba..

Itakuwa aibu sana, nikikumbuka jamaa walikuwa very promising kikosi chao cha KD, RW, Ibaka na Harden na wakaingia Finals 2012, hakuna ambaye angetegemea wangekuja kuwa hivi walivyo leo hii.
 
Jamani...
Hivi ni lini GSW atacheza na LA Clippers..!?
Maana hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu kubwa kwa sasa kama hii ya GSW vs LAC..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Jamani...
Hivi ni lini GSW atacheza na LA Clippers..!?
Maana hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu kubwa kwa sasa kama hii ya GSW vs LAC..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Walikutana tarehe 4 Oktoba katika mchezo wa awali (pre-season) ambapo Warriors waliikung'uta Clippers 120-73 . Watakutana kwa mara ya kwanza msimu huu tarehe 7 Desemba nyumbani kwa Clippers.
 
Walikutana tarehe 4 Oktoba katika mchezo wa awali (pre-season) ambapo Warriors waliikung'uta Clippers 120-73 . Watakutana kwa mara ya kwanza msimu huu tarehe 7 Desemba nyumbani kwa Clippers.
Naisubiri kwa hamu hii mechi..!
 
Thursday, November 24, 2016
Thabeet eyes NBA League comeback

By The Citizen Reporter & Agencies @TheCitizenTz news@thecitizen.co.tz

Dar es Salaam. Tanzanian centre Hasheem Thabeet is persistent in returning to the NBA League after over two years without being in any professional basketball roster.

Thabeet, who is the only Tanzanian to have played in the American top league, won a ticket to NBA in 2009 when he was selected as the second overall pick by the Memphis Grizzles.

Aside from the Grizzlies, the 7.3-foot centre also suited up for the Houston Rockets, Portland Trail Blazers and the Oklahoma City Thunder. In between those runs, he saw action in the Development League (D-League) as well. Usually, when a player is coming back to the NBA, the first step is to play in the D-League. However, that is unfavourable for Thabeet.

Speaking to The Undefeated, Thabeet explained about being in the D-League once more: “With the work I’ve put in, I feel like I need to go somewhere [else], not to downplay the D-League. When I play [in the D-League], I feel like some guys weren’t locked in. They weren’t locked in or they don’t take it seriously, like I did.” If Thabeet is aiming for an NBA comeback but does not want to be in the D-League first, the process would be much harder for him. It is likely the 29-year-old wants to get signed directly by a team which is perhaps far-fetched for him following an unremarkable run in the big league.

Thabeet’s best year in his career was his rookie season (2009-10) when he played 68 regular season games as a reserve for Memphis. During this run, he averaged career-bests 3.1 points, 3.6 rebounds, with 1.3 blocks in 13 minutes of action per contest. For the 2015/16 season, Thabeet could have played in the D-League again or signed a lucrative deal overseas.

He could take either of those routes right now as the 2016-17 season gets underway. But in recent months, Thabeet has instead decided to work on his game in private and go all-in on salvaging his NBA career.

“The goal is to make it back to the NBA, so I’ll do whatever it is going to take for me to get accepted by a team,” Thabeet said. “Whatever it takes for me to get back, I’ll do it. The goal is to focus on the NBA right now and I feel I can actually say from my heart that I have worked hard enough this summer to stay over here [rather than go overseas].”
 
Masikini Thabeet, kwa huo urefu tu timu zingekuwa zinamlilia na kama angewekeza kunakostahili saa hizi tungekuwa tunaongelea mengine lakini akaamua kuchezea shilingi chooni! Kwa kweli Watanzania tunahitaji kupimwa akili...kila siku tunatafuta njia za mkato; kula kivulini bila kuhangaika juani. Kila la heri Thabeet!
 
Reactions: BAK
Ananishangaza sana huyu, lakini ndiyo hivyo Mkuu Waswahili walisema "kwenye miti hakuna wajenzi" na hawakukosea anataka kurudi NBA kinyemela bila kuhangaika juani ili kuonyesha wahusika kwamba ni kweli anastahili kurudi NBA. Super Star wetu huyu Mkuu.

Warriors na ndugu zao Lakers uwanjani tena...je hawa vijana wa kusini California watalipiza kisasi cha juzi? Hadi quarter ya kwanza inamalizika score ni 30-20 vijana wa Oakland wakiwa mbele.
 
Halftime - Warriors 53, Lakers 43. Huko Detroit nako Clippers wamepoteza kwa Pistons 97-108 huku CAVs nao wakiisulubu Mavericks 128-90.
 
Final: Warriors 109, Lakers 85. The Warriors are now 14-2, Clippers 14-3, Spurs 13-3 and CAVs 12-2
 
Ajabu shaqtin a fool MVP JaVale anachezea one of the best team lakini Thabeet hata hakuna timu inahangaika nae.. Iwe fundisho kwake..
 
Leo naona kama Durant,Steph na Klay wote kwa pamoja wako fire...
Ngoja tuone kama watamaliza na moto huu huu..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…