NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Uncle Drew is a badass against GSW

@KyrieIrving last 6 games vs GSW: 30,34,41,23,26,25
 

Attachments

  • IMG_3450.JPG
    IMG_3450.JPG
    72.8 KB · Views: 29
Ni kweli kabisa. Hata wacheza wa CAVS walivyojipongeza baada ya game kwisha inaonekana walipania sana kushinda leo. Na ushindi wao haukuwa rahisi hata kidogo.

Hii comeback iko very inspiring!

Inanikumbusha ile comeback ya 3-1!
 
What a game!

Mag3 pole kwa kichapo, ila mmepigana kiume.
Samahani ndugu yangu Raimundo, nilikuwa na dharura kidogo. Kwanza hongera kwa ushindi siku ya leo, naamini CAVs deserved it! Naambiwa GSW walichezea shilingi chooni na matokeo yake ndiyo hayo...hata hivyo sijasikitika kama nilivyosikitika mwaka jana. Hivi sasa naangalia replay niliyorekodi na baada ya hapo ndiyo nitaweza kutoa tathmini yangu.

Nimepitia maoni mbalimbali kutoka kwa wachangiaji na nimefurahi sana kuwaona hata waleeee...wote nawapa karibu sana kwenye jamvi ila msiwe mnapotea hivyo. Nasikia kuna wakati GSW walikuwa wanaongoza kwa pointi 14 4th quarter, and they blew it! Hiyo si dalili nzuri kwa timu yangu niipendayo, nadhani kama ni somo watakuwa wamejifunza!

Sina excuse....
 
Hivi sasa naangalia replay niliyorekodi na baada ya hapo ndiyo nitaweza kutoa tathmini yangu.

Mkuu naamini mpaka sasa utakuwa umeshamaliza kuangalia replay, nasubiri tathmini yako.

Siku njema mkuu.
 
Merry Christmas wadau wa kikapu. Maskini GSW yenye KD leading the first 3 quarters still cant get a win! Naamimi ile 3-1 comeback ya Cavs kwenye finals imewaathiri mno kisaikolojia na sio rahisi ku recover! It will take a long time.[emoji16] Halafu Lebron is tormenting them big time! Anafanya atakacho. [emoji16][emoji16]. Nawatakia sikukuu njema wadau Mungu atujalie tuvuke salama.
 
Cavs wamenipa zawadi ya X-Mass.

Ila kama tunakutana na hawa jamaa kwenye finals, KD ni tatizo linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi.
Mkuu...
Kipi kinakupa UHAKIKA wa Cavs kufika fainali..?
It looks like you are more than SURE..!
 
7a6874c0654db8e989932b41a214b826.jpg


Huyu Jamaa ameshakuwa JINAMIZI la GSW sasa...
Ila kwanini Curry akikutana na LeBron na Irving anakua mbovu sana..?
Inashangaza sana aisee..!
 
Back
Top Bottom