kkenzki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 1,498
- 2,483
Merry Christmas to you too chiefYegomasika, mbunduki, Lizarazu, Nyani Ngabu, kkenzki, Nzi, Bufa...
Merry Christmas to you all...please join the party. Enjoy it while it lasts!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Merry Christmas to you too chiefYegomasika, mbunduki, Lizarazu, Nyani Ngabu, kkenzki, Nzi, Bufa...
Merry Christmas to you all...please join the party. Enjoy it while it lasts!
Merry Christmas wadau wa kikapu. Maskini GSW yenye KD leading the first 3 quarters still cant get a win! Naamimi ile 3-1 comeback ya Cavs kwenye finals imewaathiri mno kisaikolojia na sio rahisi ku recover! It will take a long time.[emoji16] Halafu Lebron is tormenting them big time! Anafanya atakacho. [emoji16][emoji16]. Nawatakia sikukuu njema wadau Mungu atujalie tuvuke salama.
![]()
Huyu Jamaa ameshakuwa JINAMIZI la GSW sasa...
Ila kwanini Curry akikutana na LeBron na Irving anakua mbovu sana..?
Inashangaza sana aisee..!
Thats unquestionable bro, GSW na CAVs are two best teams in the league, GSW wamemuongeza KD ambaye ambae amefanya timu iwe tishio zaidi, na huku CAVs wameboresha chemistry na sasa wanaonekana wako much stronger than last season in comparison, so kuna possibility kubwa ya hizi timu mbili kukutana fainals.Mkuu...
Kipi kinakupa UHAKIKA wa Cavs kufika fainali..?
It looks like you are more than SURE..!
Inawezekana mkuu...Thats unquestionable bro, GSW na CAVs are two best teams in the league, GSW wamemuongeza KD ambaye ambae amefanya timu iwe tishio zaidi, na huku CAVs wameboresha chemistry na sasa wanaonekana wako much stronger than last season in comparison, so kuna possibility kubwa ya hizi timu mbili kukutana fainals.
Yaani kama tu ilivyokuwa celtic and lakers miaka ya 1980's
Hao st. Antonio spurs hata king james anawajua wanampaga wakati mgumu ni wasumbufu sanaa, wakiamuaga kukaza wanakaza haswa.Inawezekana mkuu...
Lakini kuna timu kama Spurs na Rockets...
Hizi timu mbili nazo ni za kupewa nafasi..!
Pole sana mkuu na heshima kwa kukubali kichapo bila malalamiko, ni kweli GSW walibweteka sana kipindi walipokuwa mbele kwa 14 points na uwanja akawa kimyaa....lakin upepo ilivyobadilika walipelekwa mchaka mchaka hadi huruma japo KD kidogo atuvurugie hali ya hewa dakika ya mwisho.Samahani ndugu yangu Raimundo, nilikuwa na dharura kidogo. Kwanza hongera kwa ushindi siku ya leo, naamini CAVs deserved it! Naambiwa GSW walichezea shilingi chooni na matokeo yake ndiyo hayo...hata hivyo sijasikitika kama nilivyosikitika mwaka jana. Hivi sasa naangalia replay niliyorekodi na baada ya hapo ndiyo nitaweza kutoa tathmini yangu.
Nimepitia maoni mbalimbali kutoka kwa wachangiaji na nimefurahi sana kuwaona hata waleeee...wote nawapa karibu sana kwenye jamvi ila msiwe mnapotea hivyo. Nasikia kuna wakati GSW walikuwa wanaongoza kwa pointi 14 4th quarter, and they blew it! Hiyo si dalili nzuri kwa timu yangu niipendayo, nadhani kama ni somo watakuwa wamejifunza!
Sina excuse....
Nakumbuka mkuu...Hao st. Antonio spurs hata king james anawajua wanampaga wakati mgumu ni wasumbufu sanaa, wakiamuaga kukaza wanakaza haswa.
Unakumbuka heat walivyokuwa onfire kipind kile walivyoaibishwa na hawa spurs?
jamaa ameshakuwa ni nightmare kwao na yeye kazi yake huwa ni kumaliza tu.![]()
He did it on curry and now he's done it Klay.
Indeed he is a ruthless decimater:Warrior destroyer😀
Ni kweli nimeangalia mchezo toka replay ya mchezo toka hadi mwisho...ndiyo ni kweli CAVS wamepata ushindi ila si kwa namna nilivyokuwa nikifikiri. Somehow inaonekana GSW haipendwi na ukweli umeonekana katika huu mchezo na si kwamba natoa excuse hapana, haikuwepo na sababu ya ku blow lead ya pointi 14! Lakini mambo mawili yamenishangaza...Mkuu naamini mpaka sasa utakuwa umeshamaliza kuangalia replay, nasubiri tathmini yako.
Siku njema mkuu.
"NBA admitted there should have been a T on Lebron's hanging on the rim and a foul on Jefferson tripping KD. Lebron and Kyire didn't really win the game. The refs decided for them to win by not giving the Warriors any chance to score at least 3 points to win. To bad that GSW plays vs Cavs 8 (+3 refs on their side)!!!"
Huyo si mimi, ni shabiki tu wa NBA!
Ni kweli nimeangalia mchezo toka replay ya mchezo toka hadi mwisho...ndiyo ni kweli CAVS wamepata ushindi ila si kwa namna nilivyokuwa nikifikiri. Somehow inaonekana GSW haipendwi na ukweli umeonekana katika huu mchezo na si kwamba natoa excuse hapana, haikuwepo na sababu ya ku blow lead ya pointi 14! Lakini mambo mawili yamenishangaza...
La kwanza ni hili...,
La pili ni hili...,
Kwa namna fulani maamuzi yaliyochukuliwa yametoa picha ya timu mojawapo kubebwa. Sijui ingekuwaje kama hayo yangetokea the other way round. Pamoja na hayo hongereni wapenzi wa CAVs...LeBron!
Yuko shabiki moja kaandika hivi,
"NBA admitted there should have been a T on Lebron's hanging on the rim and a foul on Jefferson tripping KD. Lebron and Kyire didn't really win the game. The refs decided for them to win by not giving the Warriors any chance to score at least 3 points to win. To bad that GSW plays vs Cavs 8 (+3 refs on their side)!!!"
Huyo si mimi, ni shabiki tu wa NBA!
mbunduki, GSW ndio gumzo la jiji, akifungwa ni big NEWS! Nani anahangaika na CAVS hata akifungwa? Who cares! Subiri GSW ipoteze mchezo hata kwa bahati mbaya, the Nyani ngabus watavamia jamvi utadhani makonde kaona samaki nchanga, we acha tu. Siku hiyo Nzi watafunika utadhani kuna uvamizi katika dampo la kizungu!Golden state sijui inachukiwa sana au ndio timu kubwa kwa sasa NBA maana jana cavs walilala kwa pistons tena kwa point nyingi kama 16 hivi, ingawa LeBron alikaa bench lakini hili lilipaswa kuzungumziwa ila sijaona hata mmoja akilizungumzia hilo why always GSW ndio isemwe ikipoteza tu.
Mkuu ile ni elite team kama nyie sidhani kama kweli wamefikia kua uchochoro usiwachukulie poa hata kidogoIshu sio Cavs kufungwa, kumbuka kuna mechi lazima u sacrifice
Kwa sisi CAVS tunaangalia big matches, tayari GSW kwetu kashakua kichochoro ndio cha msingi kwa sababu tunauhakika tunakutana nae tena kwenye finalls
PISTON waache nao wapate ushindi but mwishoni statistics zipo wazi,
Inabidi GSW wakamtafute mtu mwengine coz KD alikuja kwa ajili CAVs
Uchochoro wetu tukikutana finalls, kama mtu unalead 3-1 tunakuja kukugonga game 4 zote zilizobakia wewe ni uchochoroMkuu ile ni elite team kama nyie sidhani kama kweli wamefikia kua uchochoro usiwachukulie poa hata kidogo