NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Merry Christmas wadau wa kikapu. Maskini GSW yenye KD leading the first 3 quarters still cant get a win! Naamimi ile 3-1 comeback ya Cavs kwenye finals imewaathiri mno kisaikolojia na sio rahisi ku recover! It will take a long time.[emoji16] Halafu Lebron is tormenting them big time! Anafanya atakacho. [emoji16][emoji16]. Nawatakia sikukuu njema wadau Mungu atujalie tuvuke salama.
e18419e8ebd81f4c0e898a825db81f7a.jpg
this facial expression says we ain't afraid even if you are 99 points ahead we still can catch you.
 
7a6874c0654db8e989932b41a214b826.jpg

Huyu Jamaa ameshakuwa JINAMIZI la GSW sasa...
Ila kwanini Curry akikutana na LeBron na Irving anakua mbovu sana..?
Inashangaza sana aisee..!
5dc00e59fb0ab95e9e5dab4b98de6e56.jpg
jamaa ameshakuwa ni nightmare kwao na yeye kazi yake huwa ni kumaliza tu.

He did it on curry and now he's done it Klay.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu...
Kipi kinakupa UHAKIKA wa Cavs kufika fainali..?
It looks like you are more than SURE..!
Thats unquestionable bro, GSW na CAVs are two best teams in the league, GSW wamemuongeza KD ambaye ambae amefanya timu iwe tishio zaidi, na huku CAVs wameboresha chemistry na sasa wanaonekana wako much stronger than last season in comparison, so kuna possibility kubwa ya hizi timu mbili kukutana fainals.

Yaani kama tu ilivyokuwa celtic and lakers miaka ya 1980's
 
Inawezekana mkuu...
Lakini kuna timu kama Spurs na Rockets...
Hizi timu mbili nazo ni za kupewa nafasi..!
 
Inawezekana mkuu...
Lakini kuna timu kama Spurs na Rockets...
Hizi timu mbili nazo ni za kupewa nafasi..!
Hao st. Antonio spurs hata king james anawajua wanampaga wakati mgumu ni wasumbufu sanaa, wakiamuaga kukaza wanakaza haswa.

Unakumbuka heat walivyokuwa onfire kipind kile walivyoaibishwa na hawa spurs?
 
Samahani ndugu yangu Raimundo, nilikuwa na dharura kidogo. Kwanza hongera kwa ushindi siku ya leo, naamini CAVs deserved it! Naambiwa GSW walichezea shilingi chooni na matokeo yake ndiyo hayo...hata hivyo sijasikitika kama nilivyosikitika mwaka jana. Hivi sasa naangalia replay niliyorekodi na baada ya hapo ndiyo nitaweza kutoa tathmini yangu.

Nimepitia maoni mbalimbali kutoka kwa wachangiaji na nimefurahi sana kuwaona hata waleeee...wote nawapa karibu sana kwenye jamvi ila msiwe mnapotea hivyo. Nasikia kuna wakati GSW walikuwa wanaongoza kwa pointi 14 4th quarter, and they blew it! Hiyo si dalili nzuri kwa timu yangu niipendayo, nadhani kama ni somo watakuwa wamejifunza!

Sina excuse....
Pole sana mkuu na heshima kwa kukubali kichapo bila malalamiko, ni kweli GSW walibweteka sana kipindi walipokuwa mbele kwa 14 points na uwanja akawa kimyaa....lakin upepo ilivyobadilika walipelekwa mchaka mchaka hadi huruma japo KD kidogo atuvurugie hali ya hewa dakika ya mwisho.

Ila sio mbaya sana jipangeni tareh 16 kwa revange.
 
Hao st. Antonio spurs hata king james anawajua wanampaga wakati mgumu ni wasumbufu sanaa, wakiamuaga kukaza wanakaza haswa.

Unakumbuka heat walivyokuwa onfire kipind kile walivyoaibishwa na hawa spurs?
Nakumbuka mkuu...
Spurs na staa wao Leonard Kahwi wako vizuri sana..!
 
Play offs its all about experience na kama jana ulivyoona GSW walifungwa kwa experience; irvin kashakua mkubwa saana katika clutching points, anafanya in a row showing off kwamba in the finals hakubaatisha
 
Mkuu naamini mpaka sasa utakuwa umeshamaliza kuangalia replay, nasubiri tathmini yako.
Siku njema mkuu.
Ni kweli nimeangalia mchezo toka replay ya mchezo toka hadi mwisho...ndiyo ni kweli CAVS wamepata ushindi ila si kwa namna nilivyokuwa nikifikiri. Somehow inaonekana GSW haipendwi na ukweli umeonekana katika huu mchezo na si kwamba natoa excuse hapana, haikuwepo na sababu ya ku blow lead ya pointi 14! Lakini mambo mawili yamenishangaza...
La kwanza ni hili...,​

La pili ni hili...,​

Kwa namna fulani maamuzi yaliyochukuliwa yametoa picha ya timu mojawapo kubebwa. Sijui ingekuwaje kama hayo yangetokea the other way round. Pamoja na hayo hongereni wapenzi wa CAVs...LeBron!

Yuko shabiki moja kaandika hivi,

"NBA admitted there should have been a T on Lebron's hanging on the rim and a foul on Jefferson tripping KD. Lebron and Kyire didn't really win the game. The refs decided for them to win by not giving the Warriors any chance to score at least 3 points to win. To bad that GSW plays vs Cavs 8 (+3 refs on their side)!!!"

Huyo si mimi, ni shabiki tu wa NBA!
 
Nimeiona assessment ile ya dkk 2 za mwisho, basi poleni.

Nadhani hata hivyo refarees ndiyo chanzo cha kutoka kuongoza 14 points mpaka kulilia free throws.
 
Ni kweli nimeangalia mchezo toka replay ya mchezo toka hadi mwisho...ndiyo ni kweli CAVS wamepata ushindi ila si kwa namna nilivyokuwa nikifikiri. Somehow inaonekana GSW haipendwi na ukweli umeonekana katika huu mchezo na si kwamba natoa excuse hapana, haikuwepo na sababu ya ku blow lead ya pointi 14! Lakini mambo mawili yamenishangaza...
La kwanza ni hili...,​

La pili ni hili...,​

Kwa namna fulani maamuzi yaliyochukuliwa yametoa picha ya timu mojawapo kubebwa. Sijui ingekuwaje kama hayo yangetokea the other way round. Pamoja na hayo hongereni wapenzi wa CAVs...LeBron!

Yuko shabiki moja kaandika hivi,

"NBA admitted there should have been a T on Lebron's hanging on the rim and a foul on Jefferson tripping KD. Lebron and Kyire didn't really win the game. The refs decided for them to win by not giving the Warriors any chance to score at least 3 points to win. To bad that GSW plays vs Cavs 8 (+3 refs on their side)!!!"

Huyo si mimi, ni shabiki tu wa NBA!

Ha ha ha! Mzee, just accept and take the L!!
Umechukua video clips za washabiki wa GSW, unategemea watakuwa rational kweli? Mbona huongelei incidence ya Jefferson kupewa technical foul kwa ku-wink at Durant? Hivi mchezaji akimkonyeza na ku-smile kwa mchezaji wa upinzani ni technical foul? Huongelei offensive fouls ambazo Durant na Green walifanya na points zao walizofunga kuwa counted?

Mzee, just accept kwamba GSW blew up a 14 points lead! Hayo mengine ni excuses! GSW walipania sana game, mwishowe waka-run out of steam at the pivotal moments! GSW wajipange kwa game ya nyumbani sasa.
 
Golden state sijui inachukiwa sana au ndio timu kubwa kwa sasa NBA maana jana cavs walilala kwa pistons tena kwa point nyingi kama 16 hivi, ingawa LeBron alikaa bench lakini hili lilipaswa kuzungumziwa ila sijaona hata mmoja akilizungumzia hilo why always GSW ndio isemwe ikipoteza tu.
 
mbunduki, GSW ndio gumzo la jiji, akifungwa ni big NEWS! Nani anahangaika na CAVS hata akifungwa? Who cares! Subiri GSW ipoteze mchezo hata kwa bahati mbaya, the Nyani ngabus watavamia jamvi utadhani makonde kaona samaki nchanga, we acha tu. Siku hiyo Nzi watafunika utadhani kuna uvamizi katika dampo la kizungu!
 
Ishu sio Cavs kufungwa, kumbuka kuna mechi lazima u sacrifice
Kwa sisi CAVS tunaangalia big matches, tayari GSW kwetu kashakua kichochoro ndio cha msingi kwa sababu tunauhakika tunakutana nae tena kwenye finalls
PISTON waache nao wapate ushindi but mwishoni statistics zipo wazi,
Inabidi GSW wakamtafute mtu mwengine coz KD alikuja kwa ajili CAVs
 
Mkuu ile ni elite team kama nyie sidhani kama kweli wamefikia kua uchochoro usiwachukulie poa hata kidogo
 
Mkuu ile ni elite team kama nyie sidhani kama kweli wamefikia kua uchochoro usiwachukulie poa hata kidogo
Uchochoro wetu tukikutana finalls, kama mtu unalead 3-1 tunakuja kukugonga game 4 zote zilizobakia wewe ni uchochoro
plus tumerudia mechi ya mwisho juzi na tumewagonga pia, what else niseme kuhusu GSW kwa CAVs?
 
Back
Top Bottom