Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Vipi na jana walionewa na marefa kama inavyokuwa siku zingine? au wameona aibu kulalamika ukizingatia wamepigiwa kwao!![emoji3] [emoji3]Yaani jamaa hadi wanatia huruma, nadhani itabidi wafanye trade ku-balance team yao.
Umeskia green alivyoongea shiit dhidi ya KD?
wameanza kuvurugana tayari.
Acha wapigwe tu wako overhyped sana.
Thumb up to Grizzlies for great comeback.