Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Curry ndo kafichwa kabisa kama kwenye Finals.
Kheeee hivi kacheza leo? Alikuwepo?
Manake ni kama vile nimeona APB yake mahala...😉
Very Merry Christmas to you and yours!
Ngoja sasa niangalie Ravens vs Steelers.
Steph is the biggest loser kwa ujio wa KD, anacheza under KD's shadow wakati alikua star wa timu.So KD is the Dubs' last shot taker now? No more Steph? Interesting....
This dude is 36, and he did this on Klay...
Samahani ndugu yangu Raimundo, nilikuwa na dharura kidogo. Kwanza hongera kwa ushindi siku ya leo, naamini CAVs deserved it! Naambiwa GSW walichezea shilingi chooni na matokeo yake ndiyo hayo...hata hivyo sijasikitika kama nilivyosikitika mwaka jana. Hivi sasa naangalia replay niliyorekodi na baada ya hapo ndiyo nitaweza kutoa tathmini yangu.
Murder was the case that they gave RJ
Watu wamesha'update mpaka Wikipedia
Hivi sasa naangalia replay niliyorekodi na baada ya hapo ndiyo nitaweza kutoa tathmini yangu.
Mkuu...Cavs wamenipa zawadi ya X-Mass.
Ila kama tunakutana na hawa jamaa kwenye finals, KD ni tatizo linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi.