GS ni super team.Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.
Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.
naona leo mmejitahidi kuongoza hadi mwisho japo Whiteside kawapa taabu sana, yaani utafikiri yeye ndio MVP hongereni kwa ushindi.Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.
Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.
Naona leo tena huko Portland kuna kazi...! Kuna timu inaanza kuwa uchochoro.18th Triple Double from the MVP - Russel Westbrook: 24-13-12.
Game imekaza...Naona leo tena huko Portland kuna kazi...! Kuna timu inaanza kuwa uchochoro.
Naona leo tena huko Portland kuna kazi...! Kuna timu inaanza kuwa uchochoro.
Newsworthy [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]GS ni super team.
Haipaswi kufungwa hata game moja.
I mean, mna ma MVP wawili na ma all stars sijui wangapi tu...
Msimu huu mlipaswa muende 82-0 maana mmeiboresha maradufu timu yenu kwa hiyo addition ya KD.
Sasa ikitokea mmefungwa, huko kufungwa kunakuwa newsworthy.
It comes with the territory.
Yaani nyie sasa hivi expectations walizonazo watu ni kwamba mtachukua ubingwa tena in a spectacular fashion[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Blazers uisumbua sana Cavs. Korver anahitaji kuzoea timu na kufahamu mfumo vizuri; vilevile jana nilimsikia akisema alikuwa hajafanya mazoezi toka mwaka mpya.Poleni sana, McCollum anazidi kuua tu pamoja na Korver ndani!
cc: Raimundo, zech, Lizarazu, Mustaphagentleman ++++
Blazers uisumbua sana Cavs. Korver anahitaji kuzoea timu na kufahamu mfumo vizuri; vilevile jana nilimsikia akisema alikuwa hajafanya mazoezi toka mwaka mpya.
Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwama Cavs hawajali sana regular season kama GSW, ndio maana siku nyingine utasikia LeBron, Kyrie and Love hawachezi, wanaelewa kwamba season yao haswa huanza playoffs ndio maana utaona wanafungwa na vitimu vya ajabu.Poleni sana, McCollum anazidi kuua tu pamoja na Korver ndani!
cc: Raimundo, zech, Lizarazu, Mustaphagentleman, msocial ++++
mkuu wewe ndio umeongea sasa, hii regular season cavs perfomance yao huwa ya kawaida sana... hatunaga muda na sijui tuvunje record ya akina nani. sisi tunachoangalia hasa ni uhakika wa kufika finals hata kama safari itakuwa na vipigo ndani yake, alafu ukiangalia timu zinazo mfunga cavs hata sio tishio kwenye league na hii ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa umakini sana.Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwama Cavs hawajali sana regular season kama GSW, ndio maana siku nyingine utasikia LeBron, Kyrie and Love hawachezi, wanaelewa kwamba season yao haswa huanza playoffs ndio maana utaona wanafungwa na vitimu vya ajabu.
Bingwa anapigwa back to back...Noma sana, vipigo vimefululiza.
Kila siku ni excuse baada ya excuse...hivi jana CAVs ilipopigwa 102-86, nitajie hao ambao hawakucheza! Yaani defending champions hata wakifungwa, kwa msocial ni non-issue ila Warriors wakifungwa eti ni newsworthy! Rekodi ya CAVS nyumbani ni 18-3 lakini ugenini ni 10-7...aibu kubwa kwa timu bingwa!Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwama Cavs hawajali sana regular season kama GSW, ndio maana siku nyingine utasikia LeBron, Kyrie and Love hawachezi, wanaelewa kwamba season yao haswa huanza playoffs ndio maana utaona wanafungwa na vitimu vya ajabu.
Yale yaleee...! Utetezi usio na kichwa wala miguu. Jana Trail Blazers kawahenyesha na badala ya kukubali kama alivyofanya Raimundo, wewe unaleta sababu maandazi😵 Hebu angalia hapa...!mkuu wewe ndio umeongea sasa, hii regular season cavs perfomance yao huwa ya kawaida sana... hatunaga muda na sijui tuvunje record ya akina nani. sisi tunachoangalia hasa ni uhakika wa kufika finals hata kama safari itakuwa na vipigo ndani yake, alafu ukiangalia timu zinazo mfunga cavs hata sio tishio kwenye league na hii ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa umakini sana.
Bingwa anapigwa back to back...