NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

15823634_10154745241193463_8874035027782555103_n.jpg

For games like this... [HASHTAG]#ThisIsWhyWePlay[/HASHTAG]!
 
Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.
 
GS ni super team.

Haipaswi kufungwa hata game moja.

I mean, mna ma MVP wawili na ma all stars sijui wangapi tu...

Msimu huu mlipaswa muende 82-0 maana mmeiboresha maradufu timu yenu kwa hiyo addition ya KD.

Sasa ikitokea mmefungwa, huko kufungwa kunakuwa newsworthy.

It comes with the territory.

Yaani nyie sasa hivi expectations walizonazo watu ni kwamba mtachukua ubingwa tena in a spectacular fashion[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
GSW 32 - 6
SAC 15 - 22

Hiyo comeback ilikuwa ya aje mkuu kwa SAC?

Acheni kudeka.
 
Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.
naona leo mmejitahidi kuongoza hadi mwisho japo Whiteside kawapa taabu sana, yaani utafikiri yeye ndio MVP hongereni kwa ushindi.

ila hiyo ya tarehe 16 futa expectation za ushindi.
 
Ni kama vile mnasubiri GSW ifungwe tena jamvi letu lichangamke. Wengine wenu sasa mmekimbilia NBA 2015/2016, je kulikoni? Juzi GSW imewaonesha Cousins wao wa Sacramento kwamba kutangulia si kufika katika mchezo unaoongelewa hadi sasa...@Raimundo na Nzi kimyaaa, what the heck! Naona mmekuwa kama manyang'au mkisubiri mkono wa binadamu udondoke...ha ha haaa, imekula kwenu! The Dubs wako imara na Januari 16 haiko mbali...strength-in-numbers.

GSW watafungwa tu, tena this season i think they more beatable than last season. Durant is still Durant, when the game is tight and your team needs every bucket from him:- turnover, missed shots, bad defense etc. Curry will still get shown up vs good PGs because he can't defend and most other top PGs are more athletic, they will attack him and tire him up hello [HASHTAG]#Kyrie[/HASHTAG], no rim protection will kill them against good teams, of course they'll win most of their regular season games because they're so invested in it and will probably be the #1 seed but come playoffs, they will be easier to beat than last year's version. Durant is not leader, same thing he was with OKC and LeBron always beats him up like his child.
 
GS ni super team.

Haipaswi kufungwa hata game moja.

I mean, mna ma MVP wawili na ma all stars sijui wangapi tu...

Msimu huu mlipaswa muende 82-0 maana mmeiboresha maradufu timu yenu kwa hiyo addition ya KD.

Sasa ikitokea mmefungwa, huko kufungwa kunakuwa newsworthy.

It comes with the territory.

Yaani nyie sasa hivi expectations walizonazo watu ni kwamba mtachukua ubingwa tena in a spectacular fashion[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Newsworthy [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Blazers uisumbua sana Cavs. Korver anahitaji kuzoea timu na kufahamu mfumo vizuri; vilevile jana nilimsikia akisema alikuwa hajafanya mazoezi toka mwaka mpya.

Mkuu nimecheki latest games naona kama ball distribution siyo nzuri kivile, hata game tuliyowafunga GSWs hakukuwa na movement nzuri kama ile ya mechi za mwanzo wa ligi.

Hii kitu inabidi iwe addressed immediately, kwa sababu naamini kwa addition ya Kyle ball movement inabidi iwe ya ukweli ili aweze kuwa kwenye nafasi za catch and shoot.
 
Poleni sana, McCollum anazidi kuua tu pamoja na Korver ndani!

cc: Raimundo, zech, Lizarazu, Mustaphagentleman, msocial ++++
Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwama Cavs hawajali sana regular season kama GSW, ndio maana siku nyingine utasikia LeBron, Kyrie and Love hawachezi, wanaelewa kwamba season yao haswa huanza playoffs ndio maana utaona wanafungwa na vitimu vya ajabu.
 
mkuu wewe ndio umeongea sasa, hii regular season cavs perfomance yao huwa ya kawaida sana... hatunaga muda na sijui tuvunje record ya akina nani. sisi tunachoangalia hasa ni uhakika wa kufika finals hata kama safari itakuwa na vipigo ndani yake, alafu ukiangalia timu zinazo mfunga cavs hata sio tishio kwenye league na hii ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa umakini sana.
 
Noma sana, vipigo vimefululiza.
Bingwa anapigwa back to back...
Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwama Cavs hawajali sana regular season kama GSW, ndio maana siku nyingine utasikia LeBron, Kyrie and Love hawachezi, wanaelewa kwamba season yao haswa huanza playoffs ndio maana utaona wanafungwa na vitimu vya ajabu.
Kila siku ni excuse baada ya excuse...hivi jana CAVs ilipopigwa 102-86, nitajie hao ambao hawakucheza! Yaani defending champions hata wakifungwa, kwa msocial ni non-issue ila Warriors wakifungwa eti ni newsworthy! Rekodi ya CAVS nyumbani ni 18-3 lakini ugenini ni 10-7...aibu kubwa kwa timu bingwa!
mkuu wewe ndio umeongea sasa, hii regular season cavs perfomance yao huwa ya kawaida sana... hatunaga muda na sijui tuvunje record ya akina nani. sisi tunachoangalia hasa ni uhakika wa kufika finals hata kama safari itakuwa na vipigo ndani yake, alafu ukiangalia timu zinazo mfunga cavs hata sio tishio kwenye league na hii ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa umakini sana.
Yale yaleee...! Utetezi usio na kichwa wala miguu. Jana Trail Blazers kawahenyesha na badala ya kukubali kama alivyofanya Raimundo, wewe unaleta sababu maandazi😵 Hebu angalia hapa...!

201701120000000181555

Pamoja na kukabwa na King na subjects wake watiifu wawili, McCollum anazidi kutungua tu! Bahati yenu Lilard jana kapoa la sivyo kipigo kingekuwa cha hatari. Acheni visingizio😱😱😱!

Juzi hapa mmejitetea, oh subirini J. R. Smith arudi ha hahaaa, jana karudi akakuta anachezeshwa sindimba, angalieni hapa...!

Cavaliers_Trail_Blazers_Basketball_80030.jpg
 
Bingwa anapigwa back to back...

Afadhali hata hivyo unapata timu za kukusaidia kutufunga, maana najua ninyi hamwezi kutufunga!

Wazee wa kupoteza 3-1, hivi X-Mass tuliwachakaza, tar 16 tunakuja tena kuwachakaza.
 
Back
Top Bottom