George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
....walimleta KD ili wapambane na Bron! They added another choker into the already choking roaster!!Naona Warriors wameweza kuziba pengo la KD ,nahisi atakaporudi anaweza akavuruga momentum ya timu
You know what am capable of.
You won't dare.
....walimleta KD ili wapambane na Bron! They added another choker into the already choking roaster!!
F A K E
Hahaha Mkuu hata bila kusema, huu si utani/trolling tu za Internet na FANBASE. Sometimes haina haja ya ku'Caps-On, chillax fam!.F A K E
....ha ha. Naona mnazidi kutoka mafichoni na kuanza ku-troll, eh?!?
ila wataitengeneza tu.Hahaha Mkuu hata bila kusema, huu si utani/trolling tu za Internet na FANBASE. Sometimes haina haja ya ku'Caps-On, chillax fam!.
Kiaina sio saana....ha ha. Naona mnazidi kutoka mafichoni na kuanza ku-troll, eh?!?
Anyday mkuu... Mi wala sina tatizo tuweke mzigo mezani tuNaomba niinunue hii kesi.
Ndugu nasikia leo kidogo Tristan Thompson na Lebron wachapane ngumi baada ya kuifunga below .500 team nyumbani kwenyuuu kwa double overtime..
Sasa kwanini watake kuchapana mikono? Kwani si mna secret agenda??
Anyday mkuu... Mi wala sina tatizo tuweke mzigo mezani tu
Draymond hanaga akili huyo.. Ila nyie si mna secret agenda sasa kwanini mnadundana wakati mmepenga mpoteze game zilizobaki kwa makusudi kabisa..Ha ha ha! Kawaida sana hiyo kwenye Ball Game.
Hii uliiona?