Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sawa, ni game ya kwanza but the future doesn't look too promising for them unless they really step it up.Dude, ni game ya kwanza ya postseason...cha msingi ilikuwa ni kupata the W, no matter the winning margin.
But, PG is a baaaadman! He is a badass baller! To sad he has no support!
Kama umesikia post-match interviews za Cavs, utaona ni jinsi gani ambavyo bado wana-aim to get better. Na uzuri wa playoffs ni kwamba unapata nafasi ya kucheza na timu moja angalau mara nne, hivyo ni kweli a team gets better as the postseason moves..Sawa, ni game ya kwanza but the future doesn't look too promising for them unless they really step it up.
Jason is a hell of a coach.. there's a pocbility bucks will win the series. # LetsGoBucksJason Kidd naona anatafuta upset hapa...DeRozan kaenda straight locker room after the 1st quarter, looks pissed off
bucks wapo moto sana, Game 2 itakua ngumu kwa Raptors , Lowry is not fully himself, unless he step it up Game 2 itaenda kwa bucks. once again.Game 2 is very crucial for Raptors to win, otherwise it'll be over in 4/5 games.
Una roho ngumu ndugu yangu...CAVs na advantage ya home court lakini wakaponea chupu chupu! Nimewasikiliza home fans wao na wanachosema ni tofauti kabisa na dai lako; the fans are worried and LBJ had to play for over 42 minutes!Kama umesikia post-match interviews za Cavs, utaona ni jinsi gani ambavyo bado wana-aim to get better. Na uzuri wa playoffs ni kwamba unapata nafasi ya kucheza na timu moja angalau mara nne, hivyo ni kweli a team gets better as the postseason moves..
Memphis vs Spurs series haivutii hta kidogo... Jazz vs Clippers coming up and I'm up lyk the morning star.. lego [emoji110] [emoji110]
Kwa siye wapenda michezo siku ya leo ni bomba sana kwenye tube. Saa hizi Liverpool wanakipiga na WBA, baadaye Formula one kule Bahrain kisha MANU wanakipiga na Chelsea. Baadaye tunarudi kwenye NBA Playoffs Wizards na Atlanta, GSW na Portland, Chicago na Boston na kumalizia na HOUSTON na OKC.
Huston Rockets Vs OKC Is MVP-War GameKwa siye wapenda michezo siku ya leo ni bomba sana kwenye tube. Saa hizi Liverpool wanakipiga na WBA, baadaye Formula one kule Bahrain kisha MANU wanakipiga na Chelsea. Baadaye tunarudi kwenye NBA Playoffs Wizards na Atlanta, GSW na Portland, Chicago na Boston na kumalizia na HOUSTON na OKC.
Wewe umesikiliza mashabiki! Mimi nimesikiliza kocha na wachezaji. Kama unawaamini mashabiki kuliko coaching staffs na players, that's your problem, not mine.Una roho ngumu ndugu yangu...CAVs na advantage ya home court lakini wakaponea chupu chupu! Nimewasikiliza home fans wao na wanachosema ni tofauti kabisa na dai lako; the fans are worried and LBJ had to play for over 42 minutes!
Hivi mimi na wewe tuko kundi gani? La mashabiki au coaching staffs na players? Hata hivyo nina wasiwasi moja, yawezekana huyo kocha wa CAVs nimeanza kufuatilia NBA kabla hajazaliwa na hivyo hivyo kwa wachezaji...sasa hapo!Wewe umesikiliza mashabiki! Mimi nimesikiliza kocha na wachezaji. Kama unawaamini mashabiki kuliko coaching staffs na players, that's your problem, not mine.
Mkuu...Hivi mimi na wewe tuko kundi gani? La mashabiki au coaching staffs na players? Hata hivyo nina wasiwasi moja, yawezekana huyo kocha wa CAVs nimeanza kufuatilia NBA kabla hajazaliwa na hivyo hivyo kwa wachezaji...sasa hapo!
u cant put ur money on clippers wale jamaa wana matatizo makubwa mimi 2 ndo nayajua [emoji23] [emoji23] [emoji23]Clippers always look good on paper but when the momenf of truth arrive...they shrink big time.