bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,426
Naelewa hii ni playoff kaka. Ila kama unatazama mechi vizuri utaelewa upande wa West competition ni ngumu sana. Ukiangalia Rockets yupo onfire lazima atapita kwa OCT na akipita lazima akutane na kikombe cha SAS. hapo akitoboa kwa mtazamo wangu naamini atapita tu kwa GOLDEN. East kwa mtazamo wangu naona kupo kawaida tu, on paper clev anapewa nafasi East 7bu kule upinzani upo kawaida sana. Huo ni mtazamo wangu navyoziangalia hizi mechi, kama nimechanganya nielimisheni.