NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Okay, nimekupata.

Washington Wizards wanaweza kukalishwa na Bulls pia, nawaona kama hawana benchi ukilinganisha na benchi la Bulls.
But they are very good 3 point shooting team and Wall has been ridiculous.. Ngoja tuone hiyo matchup yao
 
Mimi ni NBA fanatic tu ambae pia ni.
#anti-warrior
[HASHTAG]#chokefamilyhater[/HASHTAG]
[HASHTAG]#champssupporter[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Irvingbrother[/HASHTAG]

[HASHTAG]#cavsNation[/HASHTAG]
[HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG]
I see...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
. Lakini bado haimaanisha Cavs si wabovu defensively..
Hili suala la Cavs kuwa wabovu defensively, majuzi Chuck kaliongelea! Anawashangaa nyiye mnaoshangaa defence ya Cavs. Anawauliza ni lini Cavs iliwahi kuwa timu nzuri defensively? Anawaambia Cavs has never had any defensive stud kama Draymond, Kawhi n.k. Hata mwaka jana defensively Cavs walikuwa ranked huko chini. So, defence isn't Cavs' strenght, it has never been one. Defensive tactics yao ni ku-score more points than you. Yaani offensive prowess yao ndiyo defensive tactic yao.
 
Hili suala la Cavs kuwa wabovu defensively, majuzi Chuck kaliongelea! Anawashangaa nyiye mnaoshangaa defence ya Cavs. Anawauliza ni lini Cavs iliwahi kuwa timu nzuri defensively? Anawaambia Cavs has never had any defensive stud kama Draymond, Kawhi n.k. Hata mwaka jana defensively Cavs walikuwa ranked huko chini. So, defence isn't Cavs' strenght, it has never been one. Defensive tactics yao ni ku-score more than points than you. Yaani offensive prowess yao ndiyo defensive tactic yao.
Nilidhani huwa wanasubiri playoffs, kumbe hawajawahi kuwa timu nzuri defensively...makubwa haya! Je kama defensive tactic yao ni ku-score more points than their opponents, inakuwaje hawaongozi kwa points scored per game? That would make a lota sense lakini kama hawamo hata katika nafasi tatu ya timu zinazoongoza kwenye score, unaelezaje hii ndugu yangu [B]Nz[/B]i?

[HASHTAG]#Dubnation...Strengthinnumbers![/HASHTAG]
 
! Je kama defensive tactic yao ni ku-score more points than their opponents, inakuwaje hawaongozi kwa points scored per game? That would make a lota sense lakini kama hawamo hata katika nafasi tatu ya timu zinazoongoza kwenye score, unaelezaje hii ndugu yangu [B]Nz[/B]i?

Kwani kwenye overall NBA table, Cavs imemaliza katika nafasi ya ngapi kwenye regular season? Ukijibu hili, basi utaelewa kwanini Cavs haipo kwenye nafasi tatu za juu. Mbona ni common sense tu inahitajika kuelewa hili.
 
Nilidhani huwa wanasubiri playoffs, kumbe hawajawahi kuwa timu nzuri defensively...makubwa haya! Je kama defensive tactic yao ni ku-score more points than their opponents, inakuwaje hawaongozi kwa points scored per game? That would make a lota sense lakini kama hawamo hata katika nafasi tatu ya timu zinazoongoza kwenye score, unaelezaje hii ndugu yangu [B]Nz[/B]i?

[HASHTAG]#Dubnation...Strengthinnumbers![/HASHTAG]

Mkuu nipe prediction zako, unaona nani na nani wataingia Finals?

Na ni nani unatabiri atakuwa bingwa?
 
Imeisumbuaje sasa? Bado hujajibu swali.. Au maana ya kuisumbua hujui pia..

Msimu uliopita mlisema hivyo hivyo ila mwisho wa siku hata finals hamkunusa.. Game 1 against Spurs ilikuwa ya kufungulia msimu na Warriors wala hawakuclick na waliendelea kupoteza game zingine mpaka chemistry yao ilivyokaa sawa. Game 2 starters wote walikaa nje, ilikuwa ni bench tu ndio walicheza.. Game 3 Warriors came back to back from Houston without KD to beat them by double digits wakati Spurs walishakuwa up 22 at some point..

Spurs walijipanga sana na hiyo game 3 ili tu wachukue first seed na ndio maana walianza na moto wa 15-0 run lakini wakaambulia kichapo cha mbwa mwizi wakati mastar wao wote wakiwa uwanjani tena hapo hapo kwao..

Unasema eti Spurs performance imeimarika zaidi yetu? Sie tulikuwa kwenye streak ya 14 games without KD, playing playoffs caliber teams..

Mkuu hivi kuwasumbua ni mpaka wangewaburuza mechi zote mliokutana nao au!? Sio nyie ambao mashabiki wenu walianza kupata hofu baada ya spurs kuwakaribia na hasa mlivyotoka kuchezea mechi ya mwisho ambayo mlilala 117-85 kabla hamjaja kushinda game ya mwisho miliokutana nao unayo itumia kama counter argument hapa?

Alafu unashangaza mechi ambazo ameshinda spurs unasema eti hazina umuhimu mlizoshinda nyie ndio zina umuhimu. Unatoa arrant excuses sijui mara chemistry, sasa sijui spurs wenyewe hawana excuse!! Hata hivyo nyie tumeshawazoe kila mkipigwa hamkosi sababu mwaka Jana baada ya ile blow up ya kihistoria na kuukosa ubingwa mkasingizia suspension ya Green na mpaka Leo mkiamshwa mkiulizwa sababu ni nini nyie kukosa ubingwa mnakimbilia kusema wrong suspension ya Draymond Green utafikiri timu baada ya Green kupigwa adhabu mlikuwa mnacheza pungufu uwanjani.

Nnacho amini mimi spurs wame improve toka last season kulinganisha na nyie na ndio maana nawapa nafasi kubwa ya kufika fainali kwa upande wa west.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Spurs hawafiki finale.
 
KD will not play tonight. I hope others will be able to carry his load to take 2-0 lead in this series.
 
John Wall is a bad man... End of story

Wacha weee!

Kumbe kizungu kinapanda eeeh?

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Oh by the way, my name is Richard Mugizi...my real name😀😀😀😀.

I'm in my 50s😀😀😀😀😀😀😀😀

And on that note...fcuk you.
 
Asante JaVale McGee for the first half performance...
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StrengthInNumbers[/HASHTAG]
 
I guess it's time...yeah, time to separate the men from the boys and am witnessing it happen right before my very eyes. My friend [B]Raimundo[/B], you wanna know who'll be the finalists, is that so? Well, I guess you got eyes...please use them!😉😉😉!
 
Busy defending the land..!
When the land is lost(just a matter of time) then his eyes will start seeing what's really goin on out of the land..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom