NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Natumaini hukumaanisha kwamba unanijua mimi in real life. Kama ndivyo ulivyomaanisha, I dare you to say it. Hata hiyo Facebook account yenyewe sina.

Kuhusu Cavs' fans. Kama ulisoma nilichokisema, nilisema wachezaji wapo relaxed. Sikusema fans wa Cavs wapo relaxed. Wachezaji na Coach Lue wanajua wanachokifanya, who are to you judge? What are your profiles as b-ball players?

Yaani ushabiki wa design hiyo ni wa kitoto sana. Kujifanya u-much know kuliko wachezaji na coaching staff walio na access na all training facilities na materials. Nyiye mnatumia hisia ku-evaluate teams!
You used to have facebook account 6 or 7 years ago.. Anyway hiyo sio kesi..

So Cavs blew first seed on purpose? Na hicho wanacho train kwanini wasingekifanyia majaribio kwenye good teams kama Rockets na Spurs? Kwahiyo they want to surprise us on play offs? Sawa ndugu yangu Nzi
 
Ila game tight nimepata matumaini tukitulia tunawaweza hawa spurs maana posibility kubwa kukutana nao western conference finals
 
You used to have facebook account 6 or 7 years ago.. Anyway hiyo sio kesi..

So Cavs blew first seed on purpose? Na hicho wanacho train kwanini wasingekifanyia majaribio kwenye good teams kama Rockets na Spurs? Kwahiyo they want to surprise us on play offs? Sawa ndugu yangu Nzi
Bado unaongea kwa hisia mzeeee. Sijawahi kuwa na Facebook account. Nimekuruhusu unitaje, vipi una chicken out?

Blew up 1st seed kivipi? Kwani regular season imeisha? Bado kuna 9 games.

Who are you kuuliza juu ya tactics zao? Nimekuuliza hili swali muda wote, lakini unalikimbia!! Una basketball profile ipi ku-deserve asking such a question?
 
Raimundo I told you... Now take notes;

1. Warriors came from back to back nights..
2. Warriors were down 22 somewhere on first quarter..
3. KD was out..
4. The only unanimous MVP beating all top three MVP candidates in a row..
C8Iz3yEU0AUfwa3.jpg:large
 
Bado unaongea kwa hisia mzeeee. Sijawahi kuwa na Facebook account. Nimekuruhusu unitaje, vipi una chicken out?

Blew up 1st seed kivipi? Kwani regular season imeisha? Bado kuna 9 games.

Who are you kuuliza juu ya tactics zao? Nimekuuliza hili swali muda wote, lakini unalikimbia!! Una basketball profile ipi ku-deserve asking such a question?
Ngoja nikuache na ubishi wako wa kitoto...
 
Am glad we are in good shape karibu na playoff durant aje mapema nae azoee zoee this is our season to take
 
teh teh teh teh teh

Ila Steph mtu mbaya sana... kawaburuza MVP candidates wao wote kuanzia Russ kaja kwa Harden na leo kammalizia Kawhi.. teh teh teh Steph sio fair kabisa ulichowafanyia..

C8Iz3yEU0AUfwa3.jpg:large
 
Hii tweet ni kutoka kwa Cavs die hard fans kutoka Ohio sio mpiga kelele wa pale Tazara..

"I still would take no other NBA player besides LeBron James before Steph Curry. Brilliant performance when the team looked flat."
 
Bado unaongea kwa hisia mzeeee. Sijawahi kuwa na Facebook account. Nimekuruhusu unitaje, vipi una chicken out?

Blew up 1st seed kivipi? Kwani regular season imeisha? Bado kuna 9 games.

Who are you kuuliza juu ya tactics zao? Nimekuuliza hili swali muda wote, lakini unalikimbia!! Una basketball profile ipi ku-deserve asking such a question?
Kwani wewe nzi una basketball profile ipi kudeserve kutoa opinion.
 
Wow, mwisho wa siku tumeondoka ugenini na ushindi with a 3.5 games cushion to cruise on.

I told you, soon tutaanza ona back-and-forth za kina Steph Curry na Nzi au Raimundo na GSW stalwarts wa huku ndani. All in all we are all gentlemen, so no bad blood, no love lost.

Mazee wenzangu wa GSW, congrats!.
 
When it comes to regular season games!

upload_2017-3-30_9-25-35.jpeg
 
teh teh teh teh teh

Ila Steph mtu mbaya sana... kawaburuza MVP candidates wao wote kuanzia Russ kaja kwa Harden na leo kammalizia Kawhi.. teh teh teh Steph sio fair kabisa ulichowafanyia..

C8Iz3yEU0AUfwa3.jpg:large
Wanasemaga...
"Usimfananishe Curry na vitu vya kijinga"
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Kwani wewe nzi una basketball profile ipi kudeserve kutoa opinion.
....natoa opinions ambazo hazi-question maamuzi ya wachezaji na coaching staff. Wao wana all the facilities na materials kufanya maamuzi. Hivyo wana nafasi nzuri zaidi ya kuamua nini wafanye, kuliko mimi au wewe kupanga timu ifanye hivi.

Nimewaambia, mngekuwa mmewasikiliza Coach Lue na Bron kuhusu recent defense form, msingeendelea kusema mnayosema.

Sasa nyiye mna-question their tactics based on what? Mnatumia hisia tu!
 
Wow, mwisho wa siku tumeondoka ugenini na ushindi with a 3.5 games cushion to cruise on.

I told you, soon tutaanza ona back-and-forth za kina Steph Curry na Nzi au Raimundo na GSW stalwarts wa huku ndani. All in all we are all gentlemen, so no bad blood, no love lost.

Mazee wenzangu wa GSW, congrats!.
....hakuna jipya. Last year you had 73-9 record, and I don't think if you would like to be reminded about what happened in the Finals.
 
Back
Top Bottom