NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Hahahahahahaha Mwanadamu pekee duniani anayelazimisha watu wasiwe concerned na namna Cavs wanavyopoteza. Hahahahaha maisha haya bana.
...dude nalazimisha??? Like seriously? Kwani nimekushikia bunduki kukubali ninachokisema? I'm just giving out my opinions, I'm entitled to do so.

By the way, over the past years, Bron has shown us that regular seasons' slumps for his teams, shouldn't be a concern. The dude has played in 6 straight NBA Finals despite all the downs and lows 'roller coaster' regular seasons.
 
So how many players in the Cavs roaster are injured right now, and when you winning hamkuwa na injuries? Mbona mmeshinda michezo kibao tu huku KLOVE, JR Smith wakiwa wameumia? Au kipi kikubwa kuhusu majeruhi?
...Shump, Kover, RJ
....Lil Kev na JR bado hawajafikia optimum level, wametoka kuwa majeruhi recently...
....hizi ndizo moja ya sababu za timu ku-slow down on defense. The team is just playing smart right now. It got the playoffs spot, hilo ndilo la msingi. Hawataki kwenda post-season na majeruhi wengi zaidi...
 
...dude nalazimisha??? Like seriously? Kwani nimekushikia bunduki kukubali ninachokisema? I'm just giving out my opinions, I'm entitled to do so.

By the way, over the past years, Bron has shown us that regular seasons' slumps for his teams, shouldn't be a concern. The dude has played in 6 straight NBA Finals despite all the downs and lows 'roller coaster' regular seasons.
And he's lost three of the last 6... that's it too. So that means the lows of the regular season doesn't mean he'll win the finals too. So dude don't take away the concerns over your defence [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. It's poor as hell.

Plus whom did you say is injured that makes you keep loosing?
 
....you didn't get my point. My point was, regular seasons' slumps don't matter, kama timu zake zimeweza kufika Finals kwenye hiyo misimu 6 mfululizo. Name one player ambaye amefanya hivi sasa!

It also means the highs of the regular seasons will lead to NBA championship. Winning the Finals is something else, and you as GSW' s fan you know better than me!

By the way, if regular seasons matter as you are trying to put, why didn't GSW win the title last year after going 73-9? How ironically froma GSW fan!!
 
Dude Richard Jefferson is our very important player.. Chill dude..
 
...Shump, Kover, RJ
....Lil Kev na JR bado hawajafikia optimum level, wametoka kuwa majeruhi recently...
....hizi ndizo moja ya sababu za timu ku-slow down on defense. The team is just playing smart right now. It got the playoffs spot, hilo ndilo la msingi. Hawataki kwenda post-season na majeruhi wengi zaidi...
For your record Korver has had the -ve rating on defence this season.. he's not an elite defender at all. Shumpert has seen limited minutes due to the size of the roaster.

And Korver is just missing his second game and probably will be there in the next game coming Sunday after the first minor injury which kept him out for like three games.

Jefferson was expected to play today... only not to be passed healed by doctors, but he was there against the Spurs.

Shumpert had only soreness and played 22 minutes against Chicago. What injuries are you talking about on these players?
 
Dude Richard Jefferson is our very important player.. Chill dude..
I see man... In that Cavs roster every player is important and big time than the other only when he's injured [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. By the Way LeBron has had all the excuses he's had to make this season and he just get a new excuse. From crying for help (as Mr. Skip says), he got Korver, Cried for Back Up point guard got D. Williams and back up center sadly Bogut got injured, but they've resigned Sanders who's in the D league, and yet he went to question his teammates toughness.. he laid down for a knock on his back when the game was out of reach [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

I've got to read what he just said today.
 
....you didn't get my point. My point was, regular seasons' slumps don't matter, kama timu zake zimeweza kufika Finals kwenye hiyo misimu 6 mfululizo. Name one player ambaye amefanya hivi sasa!

It also means the highs of the regular seasons will lead to NBA championship. Winning the Finals is something else, and you as GSW' s fan you know better than me!

By the way, if regular seasons matter as you are trying to put, why didn't GSW win the title last year after going 73-9? How ironically froma GSW fan!!
Kama regular season don't matter ni lini 8 seed or 7 seed walishinda chip?

Kama regular season don't matter kwanini most of the times conference finals huchezaga among the top four teams?
 
I see man... In that Cavs roster every player is important and big time than the other only when he's injured [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. By the Way LeBron has had all the excuses he's had to make this season and he just get a new excuse. From crying for help (as Mr. Skip says), he got Korver, Cried for Back Up point guard got D. Williams and back up center sadly Bogut got injured, but they've resigned Sanders who's in the D league, and yet he went to question his teammates toughness.. he laid down for a knock on his back when the game was out of reach [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

I've got to read what he just said today.
Dude you forgot one big thing.. He called Adam Silver to suspend Green on game 5 on last year finals.. Lebron being a bitch and a big complainer since 2003.. Look here, he was dissing his Miami Point Guard and wanted to trade Curry teh teh teh
 
For your record Korver has had the -ve rating on defence this season.. he's not an elite defender at all. Shumpert has seen limited minutes due to the size of the roaster.

And Korver is just missing his second game and probably will be there in the next game coming Sunday after the first minor injury which kept him out for like three games.

Jefferson was expected to play today... only not to be passed healed by doctors, but he was there against the Spurs.

Shumpert had only soreness and played 22 minutes against Chicago. What injuries are you talking about on these players?
...kwa hiyo wewe injuries unazielewaje? Au mpaka mchezaji atumie magongo kama KD ndiyo una-categorise kama injuries?
...wanaweza kuwa mnaona hawana umuhimu defensively, lakini uwepo wao na kusaidia team's rotation ni muhimu katika defensive tactics.
...na situmii injuries zao kama excuse. Ninachojaribu kusema toka mwanzo ni kwamba Coach Lue na Co. know what they are doing. Nimesema kwamba wao wapo kwenye better position than all of us kuamua nini wafanye. Nyiye na mimi tuna-question what they are doing 'defense slumps' kwa kutumia msingi upi? Je, mnahudhuria practice sessions zao? Film sessions je?

Mnazungumzia na ku-argue kwa kutumia hisia. Na sana sana mnakuwa wapiga ramli, na mimi siwezi ku-debate na wapiga ramli!
 
Sisi tunaosema mnapoteza kwa sababu hampo vizuri hatupo kwenye training sessions zao. We unaesema mnapoteza kwa sababu mmeamua upo kwenye hizo training session zao? Are you covering the Cavs nowdays bruh? Hahahahahaha hilo swali ungejiuliza kwanza wewe
 
Kama regular season don't matter ni lini 8 seed or 7 seed walishinda chip?

Kama regular season don't matter kwanini most of the times conference finals huchezaga among the top four teams?
....braza, usome basi kwa kujiongeza kidogo tu! Usisome kwa kuchukua neno moja badala ya kuelewa the whole context!

Kwa hiyo unataka kusema Cavs ni 7th au 8th seed team?
Of course regular season matters kwa ajili ya timu kuwa na position nzuri ya ku-compete and win championships when playoffs come...

...ukiangalia msimamo wa East, there is almost an impossible chance kwa Cavs kumaliza nje ya top 4, no matter how 'bad' their defensive game will be. Ndiyo maana nasema Cavs are playing smart right now. They have a guy who has been in the last 6 NBA Finals.

Nimewauliza swali naona mnalikimbia. Kwanini GSW hawakushinda championship msimu jana despite their defensive prowess and a 73-9 record? Mkiweza kujibu hili ndiyo mtaelewa why nasema regular season doesn't matter!
 
. We unaesema mnapoteza kwa sababu mmeamua upo kwenye hizo training session zao?
....I expected this from someone with no attention to details! Nimesema hapa mara nyingi, ninasema ninachokisema kutokana na kusikiliza interviews za Coach Lue na wachezaji, ambao wanaongelea suala la namna ya ku-slow down kwenye defensive end ili kutoweza kusomwa na wapinzani wao when playoffs come. Nawaamini, siyo kwa sababu ni mpenzi wa Cavs, ila kwa sababu wao wapo kwenye nafasi nzuri ya kufanya huo uamuzi. Wana training facilities na materials zote kufikia uamuzi huo. Nyiye mna-question defensive tactics za Cavs kutumia misingi ipi? Hili swali hamjalijibu!!
 
....braza, usome basi kwa kujiongeza kidogo tu! Usisome kwa kuchukua neno moja badala ya kuelewa the whole context!

Kwa hiyo unataka kusema Cavs ni 7th au 8th seed team?
Of course regular season matters kwa ajili ya timu kuwa na position nzuri ya ku-compete and win championships when playoffs come...

...ukiangalia msimamo wa East, there is almost an impossible chance kwa Cavs kumaliza nje ya top 4, no matter how 'bad' their defensive game will be. Ndiyo maana nasema Cavs are playing smart right now. They have a guy who has been in the last 6 NBA Finals.

Nimewauliza swali naona mnalikimbia. Kwanini GSW hawakushinda championship msimu jana despite their defensive prowess and a 73-9 record? Mkiweza kujibu hili ndiyo mtaelewa why nasema regular season doesn't matter!
Series was about to end on game 5.. Game 5 Draymond alikuwa nje, Iggy alicheza na majeraha kuanzia game 5 mpaka 7..

Game 6 tulipoteza bila ubishi wowote ule.. Labda ni panic au nini siwezi leta visingizio..

Game 7 tumeenda half time tukiwa na lead ya 10 points.. Tumerudi 3rd quarter ndani ya dakika 2 za mwanzo our rim protector Bogut akaumia na kwenda nje.. Since then Tristan Thompson beats us on offensive rebounds and Lebron always goes to the basket to score easy points.. Lakini third quarter iliisha tukiwa tie game.. 4th quarter ndio tumepigwa tena within the last three minutes, you should thank Barnes for all of his missed open shots.. Lebron blocked Iggy lay up na hapo ndio game ikapotea na Warriors kupoteza matumaini kabisa..

Cavs hakupoteza sababu walikuwa na uwezo zaidi, na Warriors hawakupoteza sababu walizidiwa uwezo..

Lakini kumaliza ubishi na hizi blah blah hebu tuongee na Max tuweke mzigo.. 500k mezani kama tukikutana Finals
 
....bunch of excuses! Je, unakubali kwamba kama Lil Kev na Uncle Drew wangekuwepo misimu miwili iliyopita, GSW wasingeshinda ubingwa?

Kuhusu kuweka 500k mezani, braza, kwa ukuli wangu hapa TAZARA nitatoa wapi hizo fedha aisee ndugu? Mbona unaleta mazerau hivyo arifu?!?
 
teh teh teh si boss hapo kwa Mzee Said..

Anyway wakati timu zote zipo healthy GSW ilikuwa mbele kwa 3-1.. Au tulipowachapa zile 3 hao unaowasema hawakuwapo?

Nyie ni lini mlitufunga kwenye series tukiwa healthy na bila suspension? labda ile game 3 pale kwenu na zile mbili zingine za mwaka juzi..

Anyway finals za mwaka huu zitaamua nani mbabe.. Nawaombea tu muwe healthy na sie tuweze kumchapa Spurs..
 
Back
Top Bottom