Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
"A byrd in hand - is worth ten flye at large." au kwa Kiingereza mamboleo wanasema, a bird in the hand is worth ten in the bush. Hamadi kibindoni! Ni kweli hatujavuka ila safari tumeanza na tumeanza vizuri tu, 2-0 si haba! Sasa huyo LeBron sina hakika nitakutana naye vipi kama si ndotoni tu...yaani mtoto anayetembea na kukimbia anatishiwa kukutana na ambaye hata kuzaliwa bado, mbona vituko?Hapana lingine mkuu, la ziada labda tu niwape hongera kwa ushindi na kuwatakia safari njema ya kwenda kukutana na Lebron.
cc: Nzi, Raimundo and all LeBron devotees and fanatics..."Better one byrde in hande than ten in the wood."