Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Tuko mbioni kufanya hivyo.. Au we hujasikia bado?Sawa mkuu, kwa nini misjitoe kwenye ligi au mtoe evidence za kitu hiyo?
Au mnafurahia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko mbioni kufanya hivyo.. Au we hujasikia bado?Sawa mkuu, kwa nini misjitoe kwenye ligi au mtoe evidence za kitu hiyo?
Au mnafurahia?
Tuko mbioni kufanya hivyo.. Au we hujasikia bado?
Sawa boss subiri evidence..Sijawahi kusoma chochote juu ya hilo, hasa hilo la kupiga simu anaomba kupendelewa na kuwahonga marefa!
Nasubiri evidence kutoka kwako mkuu.
Mkuu uko Serious kwa andiko hili au unatania??? Kama ni kweli Marefa huwa wananunuliwa kwa pesa ngap??Lebitch huwa ananunua marefa pia..
Mkuu uko Serious kwa andiko hili au unatania??? Kama ni kweli Marefa huwa wananunuliwa kwa pesa ngap??
Mkuu kwa hiyo na wewe unakubali kwamba LBJ huwa anawahonga marefa?
Marefa ni Binadamu na wanawezs Fanya Makosa katika Uamuzi wao, Hawezi kuwa sahii 100% ya Maamuzi yake...Hii inatokea katika michezo yote ndo maana Leo unasikia mpira wa Miguu wanaleta Goal Technology ili kurekebisha baadhi ya human Error za Marefa...
Dray akibembea kwenye rim anapewa Tech lakini Bron akibembewa anaachiwa.. Na hapo walikuwa wanamtafutia Dray Tech makusudi kabisa maana akipewa moja tu kwenye finals anamiss one match..Mkuu kwa hiyo na wewe unakubali kwamba LBJ huwa anawahonga marefa?
Kuwa LBJ huwa anapiga simu kwa Adam Silver kuomba apendelewe?
Pathetic.
Naona mlishaanza kutafuta mahali pa kutokea mkipigwa kwenye Finals, Nimeshangaa sana leo kusikia nilichokisikia kutoka kwa mtu kama Steph Curry.
Kwahiyo marefa wanaona mabaya ya Warriors na Green tu.. Curry is getting alot of contacts lakini wala hapewi FT.. Sasa Lebron akiguswa kidogo tu tayari yuko kwenye lineMarefa ni Binadamu na wanawezs Fanya Makosa katika Uamuzi wao, Hawezi kuwa sahii 100% ya Maamuzi yake...Hii inatokea katika michezo yote ndo maana Leo unasikia mpira wa Miguu wanaleta Goal Technology ili kurekebisha baadhi ya human Error za Marefa...
Kumlalamikia Refa kwa kupoteza ubingwa ni low thinking Excuse kwa mwanamichezo yoyote...
Kama unaamini katika huo upuuzi, basi GSW nao walinunua marefa wakati wa WCF dhidi ya OKC. Maana Green alipaswa kuwa suspended kwa ku-kick Adams' nuts!
Kuna Kitu inaitwa Protecting mchezaji Nyota, Hio IPO kwenye Mpira na michezo mingi....Kwahiyo marefa wanaona mabaya ya Warriors na Green tu.. Curry is getting alot of contacts lakini wala hapewi FT.. Sasa Lebron akiguswa kidogo tu tayari yuko kwenye line
Ni mara ngapi Kerr hulalamika? Au mpaka zipelekwe official letters zikitiririka huko NBA HqKuna Kitu inaitwa Protecting mchezaji Nyota, Hio IPO kwenye Mpira na michezo mingi....
Kama GSW wanaamini Curry and Green ni Nyota caliber ya James Basi wanatakiwa walalamike Stars wao hawalindwi...
Dray akibembea kwenye rim anapewa Tech lakini Bron akibembewa anaachiwa.. Na hapo walikuwa wanamtafutia Dray Tech makusudi kabisa maana akipewa moja tu kwenye finals anamiss one match..
Tell me Bron haongi marefa kwa kitu kama hicho.. Bron anahonga sana na kamnunua Adam Silver anampigiaga tu simu akiona anaelekea kushindwa teh teh teh teh
teh teh teh teh teh tehKuna muda nilijua uko serious na hizi allegations, ila nimeelewa mkuu.
Ni kama sisi wana Simba tunavyolilia point za Kagera wakati tumeshindwa wenyewe kumfunga.