Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Warriors up 3-1 after Dray suspension Vegas walisema Cavs watashinda na wakashinda..Unawaamini Vegas?
Tuyaache hayo.. Warriors always bury their opponents on third, they proved me right..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warriors up 3-1 after Dray suspension Vegas walisema Cavs watashinda na wakashinda..Unawaamini Vegas?
Warriors up 3-1 after Dray suspension Vegas walisema Cavs watashinda na wakashinda..
Tuyaache hayo.. Warriors always bury their opponents on third, they proved me right..
Tatizo ni rotation mkuu.. Nimewaambia bench leo limewaangusha sana..Kwa open misses za leo, hii game imepotea kizembe sana.
Kuna layups nyingi sana zimepotea.
Natumia simu bro.
Poapoa bro nimeenda YouTube nimecheki 3r quater yotejaribu hivyo hivyo...
ikigoma hiyo jaribu batmanstream.com
Mkipigwa game 2 mjue Warriors hawatakubali kutoka Quicken mikono mitupu..Hii game tumeshapoteza, we will regroup and come back for game 2.
Makosa ni mengi sana na ambayo yanarekebishika.
Mkipigwa game 2 mjue Warriors hawatakubali kutoka Quicken mikono mitupu..
If we hadn't had so many turnovers we should have won! T/O...the lamest excuse I have ever heard!
Anayetuangusha ni Klay Thompson tu..!Curry & KD are just deadly man.. So smooooooooooooth