NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Warriors up 3-1 after Dray suspension Vegas walisema Cavs watashinda na wakashinda..

Tuyaache hayo.. Warriors always bury their opponents on third, they proved me right..

Hii game tumeshapoteza, we will regroup and come back for game 2.

Makosa ni mengi sana na ambayo yanarekebishika.
 
Kwa open misses za leo, hii game imepotea kizembe sana.

Kuna layups nyingi sana zimepotea.
Tatizo ni rotation mkuu.. Nimewaambia bench leo limewaangusha sana..

Hakuna yeyote anayeonyesha kupigana zaidi ya Bron na Kyrie.. Angalau sisi akina Klay na Green wanastruggle on offense lakini they are playing a good D..
 
And here we call it second season syndrome hahahah.

That's disease facing Cavs right now.

GSW will get back what it belong to them [HASHTAG]#TheRing[/HASHTAG].
 
Back
Top Bottom