Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro wewe ni mgeni nini wa kuangalia hizi fainali!? Confidence inaporomokaje kwa kupoteza game moja tu wakati bado kuna zingine tatu?!!!Jamani,update za game 2 vipi? Au wale wa defend the land confidence imeporomoka kidogo?
Yangu macho Lizarazu..niliona thread haitembei kabisa utadhani series imeisha nikadhani cavs mmekubali mapema kutokana na mliyoyakuta game 1. Pamoja mkuu.bro wewe ni mgeni nini wa kuangalia hizi fainali!? Confidence inaporomokaje kwa kupoteza game moja tu wakati bado kuna zingine tatu?!!!
Sikumbuki ni lini CAVS alishinda game one dhidi GSW kwenye finals, lakini mara zote GSW alizotangulia vipigo huwa vinarudishwa na series inaishia game 6/7.
Kuhusu update ni kwamba Irving kasema walijiandaa sana kukabiliana na warriors ila hali waliokutana nayo game 1 ni tofauti na tangia juzi wamejifunza! Kwa hiyo patachimbika.
Huna kingine!?
[HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG]
Ha ha haaa, hapana ndugu yangu kwenye vikapu hakuna kuweka mpira kwapani. Sasa hivi tunahesabu tu saa na dakika moto uwake Oracle Arena katika mchezo wa pili. Naambiwa CAVs wameapa kutokubali hata kama viatu vinawavuka.Yangu macho Lizarazu..niliona thread haitembei kabisa utadhani series imeisha nikadhani cavs mmekubali mapema kutokana na mliyoyakuta game 1. Pamoja mkuu.
Yangu macho Lizarazu..niliona thread haitembei kabisa utadhani series imeisha nikadhani cavs mmekubali mapema kutokana na mliyoyakuta game 1. Pamoja mkuu.
Sitegemei kuona dominance ya KD tena utafikiri anacheza peke yake uwanjani.Ha ha haaa, hapana ndugu yangu kwenye vikapu hakuna kuweka mpira kwapani. Sasa hivi tunahesabu tu saa na dakika moto uwake Oracle Arena katika mchezo wa pili. Naambiwa CAVs wameapa kutokubali hata kama viatu vinawavuka.
naomba link mkuuEnjoy the game Guys.
We will see..!Sitegemei kuona dominance ya KD tena utafikiri anacheza peke yake uwanjani.
Sitegemei kuona turnovers za kipuuzi puuzi Leo.
Sitegemei kuona ushindi wa gap la 20+ points.
Kiufupi ni kwamba Leo ni vitaaa!!![]()
Tayari LBJ ana turnovers 3 wakati game iliyopita alikuwa nazo nne tu.We will see..!
mwenye link ya youtube msaada plz wadau